Acha kuleta stor za kusadikika jfIngalifutwa wewe soma then pinda kulio utakiona Choo kunya jifute kwa kokote sepa
Amepaste tuHii ni Dejavuu au nilishawahi kuisoma humu?
Acha kuwazia hilo kama upo serious kabisa na unachokisema.Shukran sana bro ila nadhani nitaenda kuua
Mkuu njoo tufanye mchezo mmoja yan hiyo jpil twende wote na Mimi alaf mm ndo nijidai ni mwenye hiyo namba alaf niache niingie nae gest baada ya lisaa limoja njoo utufumanie mimi nitajidai sikujui nitakimbia alaf nitakuacha umalizane nae ukiwa ushahid umekamilika
Tuliza akili. Fikiria pia kuwa huenda mkeo amefahau ulichokifanya na amekutega tu. Biblia inatusihi kuishi na wanawake kwa akili na wala sio kwa shari.
.
.
Fikiria pia kuwa mkeo ameamua kujivinjari na mtu mwingine (wewe mwenyewe) aliyempigia simu moja tu akiwa safarini. Hii ni dalili kuwa kuna jambo halipo sawa katika mahusiano yenu. Badala ya kufikiria kumwadhibu kwa vyovyote tafakari kuhusu wewe kwanza.

Umecopy wapi hii...??
![]()
Njooni ndugu zangu mnishauri
Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali...www.jamiiforums.com
Ni Id yako pia hii?
Nina uzoefu kidogo na haya majitu.Nakushauri usiende huko brother.Kaa kimya na ikiwezekana siku hiyo nenda sehemu za ibada au starehe,ila USIJE ukanywa pombe.Kama atarudi jumapili chukua tahadhari.Na kama atarudi j3 yupo makini.Usipende kumjaribu mwanamke,utakufa na kumbuka hujazaliwa naye



Sema yule mwengine alisema ubungoIko humu humu
Kwa hiyo viben 10 mko wawili? Si umesema wewe binafsi umetumia namba tofauti kuwasiliana na mkeo?Shukrani sana kwa ushauri wako ndg yangu, sasa nifanye nini maana jua NAMPENDA sana, ila kwa hili je? Nikikutana na Njemba nifanye nini? Or niandae Knife tu nimpeleke mtu kwa Sir God?
HAKUNA UTAMU UNAOMPATIA ILA UNAJIPATIA, ILA KUNA WATU WANAMPATIA. KWA HAKIKA KILA JUU YA KILA MJUZI YUPO AJUAYE ZAIDI............ENDELEA KUJIFUNZA USIKARIRI MWAMBA.Sio shida ila tambua kuwa ni mke wangu na me ndio ninampatia RAHA sio kama unaona me nalelewa tu, na utamu pia nampatia
😂😂😂 mtoa maada chukua huu ushauri uufanyie kazi!! Nenda jpili jifiche mahali..daaah, haya maisha, sijui niendelee kuishi alone maana kuwa na mke ni stress, napo ukiwa alone usipojikontrol unaweza kuta unapiga piga mwisho wa siku ukaangukia pabaya..DaahKajifiche hapo msamvu Jumapili ili uone anavyohangaika kumtafuta mtomba.ji akimkosa ataenda nyumbani kwenu. Hapo mbane kwanini karudi Jumapili na siyo Jumatatu na kwanini hakukutaarifu kuhusu kurudi Jumapili?
mkuu kwanza pole hapo hauna mtu ila kama una mpenda mvuilie tu na pia kama una watoto wemvumilie tu.Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee![]()
Dahhh.... Nimecheka Sana😂😂😂😂😂Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee![]()
mmchukulie gesti yani akifika stend amchukulie boda au bajaji amuelekeze gest ambayo amesha lipia na chumba tayari aingie ndani halafu yeye aje mwishoni ajiifanye amechelewa tu bahati mbayaKajifiche hapo msamvu Jumapili ili uone anavyohangaika kumtafuta mtomba.ji akimkosa ataenda nyumbani kwenu. Hapo mbane kwanini karudi Jumapili na siyo Jumatatu na kwanini hakukutaarifu kuhusu kurudi Jumapili?