nipeni updates wanajamii.....

gizalucky

Member
Aug 5, 2011
44
10
hivi hizi ngos kama Egpaf, path, pathfinders...huwa wanatoa mshahara bei gani?? kwa daktari??working as project coordinator??
 
Watu hawana ajira wengine wanauliza salary, duu!


@ maega kupata kazi ni process.....and information is power ndo maana watu wanachange jobs now and then...hata ambao hawana job kwa sasa they need to have information kama matangazo ya vacancies.


nipeni feedback wa ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom