Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Mimi mrefu...japo wanasema vice versa is true but mwanaume mfupi bado ni changamoto kwangu!

Sister angu mrefu ila anapenda wanaume wafupi asee tumetofautiana!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nilikua km ww zaman..lakini nachelea kisema ni ujinga tu...tena wanaume wafupi ni smart upstairs..warefu wanaringa ..wanajiona wanapaswa kuishi USA
 
Hahah mi ni average height ila nawakubali watoto pinto size! Asee ni watamu sana gademn! Halafu unaweza kummiliki vyema zaidi kwenye mahusiano, wako submissive. When im asked who to marry between short girls and the taller. My Card goes to pintos!

Pros: Wanajua kupenda for real, Wavumilivu sana, Watamu sana kwa Bed!
Cons: Wako very insecure, Nagging, Gubu n.k ila ukikumbuka akiwa kwenye sex mood anakupaje raha unaona sawa tu!
 
😍😍😍😍😍😍😍😍
 
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Na Mara nyingi mademu wafupi wanakuwaga na tege refer Beyonce, Lulu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kijicho, gubu na uchawi nilidhani ni mimi peke yangu nawaona hivo[emoji15].....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikua km ww zaman..lakini nachelea kisema ni ujinga tu...tena wanaume wafupi ni smart upstairs..warefu wanaringa ..wanajiona wanapaswa kuishi USA
Very true wanaume warefu full maringo lkn akikutana na mrefu mwenzake anaufyata[emoji57] ...

Halafu nilivyo na bahati mbaya na wanaume wafupi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very true wanaume warefu full maringo lkn akikutana na mrefu mwenzake anaufyata[emoji57] ...

Halafu nilivyo na bahati mbaya na wanaume wafupi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka real love mingle na short guys, caring yao ni level za mbinguni kabisa.
Muone Klynn anvyoinjoi mwenzio! Unafikiri mtu kama Trump anaweza fanya vile kwa mkewe?
 
Hahahhaa mm namuona kbs hubby anaringa na kimo chake..huwa namdandia mabegan kwa hasira..unaomba msaada kisa yy mrefu anakuambia hv wakat Mungu anaumba warefu ww ulikuaga wp lakini bas nandandia nimuangushe tu
 
Ukitaka real love mingle na short guys, caring yao ni level za mbinguni kabisa.
Muone Klynn anvyoinjoi mwenzio! Unafikiri mtu kama Trump anaweza fanya vile kwa mkewe?
Ahaaaahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...hebu ngoja nikawatest, nikikuta watamu nazamia huko huko[emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…