Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Mwanamke Mfupi Akidondosha Simu Haihalibiki kwasababu Anakuwa Karibu Na Aridhi.
Nimeyacheka sana majibu haya.... ! Yaani hadi wenzangu wananishtukia...
 
Sema watu wafupi huwa mna shepu nzuri yaani ukiwa mfupi huwezi kukosa wowowo 🤣🤣🤣sio kama wenzangu na sio chura hatuna.
Mnakwama wapi vimodo! Jiongezeni hata na vigodoro basi
😂😂😂😂😂😂..mimi simpi nafasi kbs ya kuninyali na ufup wangu aisee....khaa..!
Sasa vitoto vya kike si vinakwama na ule urefu akitia suti bega na mkono umekubali. Ukimuangalia kwa wasiwasi unaeza hisi ni mtu mzima kabisa maana hana wenge, katulia sana ila mabalaa yake ndio hayo. Anawasumbua sana mamanz na wao hawaishi kujigonga kwake maana wanataka wauze nae sura!
 


Hhaha yes kwenye suti wanaume warefu ni habari nyingine wanapendezasana sana
 
Aisee ngoja nijalibu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…