Kapakeni rangi ya Father Xmass
Hahahaaaaa nipo aiseeWavyungu ulipotelea wapi kaka,msimu wote hukusomeka..
wamekuja wengi hapo wameshindwa....yaani ili umpate measkron inabidi ufanye kazi ya ziada maana huwa anashinda huku ndani kabisa ya mtima wa watu8...so u have to kill me first to get to my queen!
we erickb52 nina kinyongo na wewe ile mbaya umepata faida gani??? kumbuka mtenda hutendwa
Heheheee unafurahi kuitwa Mpenzi eeeehMwanzo mzuri huu,kumbe unanifahamu.....
Simjui mtu huyu!
watu wote hatuwawezi kuwa na mawazo sawa ....au kupendelea aina moja ya kitu lazima kuwe na utofauti kati yetuwandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN
wandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN