Nipeni pole

wala hajakosea mmejawa na sukuda tuu hamna la maana midume mizimaaa jadilini mambo ya msingi

hey kipipi waite wenzako mje kumchukua huyu gebwe mkamcheze unyago akitoka huko atakuwa na adabu kwa wana chit chat
 
Aisifiaye mvua imemkunyia. Wala msimtukane manake hajielewi.
 
wala hajakosea mmejawa na sukuda tuu hamna la maana midume mizimaaa jadilini mambo ya msingi

Alokuleta huku nani hadi povu likutoke namna hiyo, njegele kweli wewe, unataka sote tuwe kama wewe, jiangalie usijejikuta unajutia kuingia huku
 
njegele huyu kakulia mataa ya ubungo kila gari anadhani daladala

huyu kakurupukia mochwari akidhani wodini ngoja tumrestishe in pisi kabisaa.
namshangaa kwanza anapanga nyumba ya mgaga halafu anaogopa kunuka uvumba.
 
hahaha hv hiki kijiwe ni cha wacheza mdako au?
 
wandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN
We vipi?
Eti unaingiaga chitchat heheheee unaingiaga lini na wakati umejiunga juzi na jana ukaweka hii post?
We niaje acha kutuzingua na nahisi kweli una VERY LOW THINKING CAPACITY kuliko ujijuavvyo!
Copy kwa Asprin Kipipi marejesho Filipo gfsonwin Bishanga PakaJimmy Preta St. Paka Mweusi Baba V charminglady C6 FP snowhite Arushaone LiverpoolFC Blaki Womani arablA Madame B watu8 Chimbuvu YNNAH Lily Flower Mr Rocky Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Amebug Meeeeeen........!!!!!!!!!!
 

mkuu watu8 kweli huyu anapoor thinking capacity yaani tumjibie sisi kwanini asijibu mwenyewe..
 
Last edited by a moderator:
wakuu samahanini maana nishapigiwa kengele naogopa bann mie inshort nilikuwa nataka ukaribisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…