wandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN
eti tunajadili mambo ya kitoto
mtaje hapa tumuozeshe hapa
wala hajakosea mmejawa na sukuda tuu hamna la maana midume mizimaaa jadilini mambo ya msingi
wala hajakosea mmejawa na sukuda tuu hamna la maana jadilini mambo ya msingi
teh teh tehMambo ya msingi kama kukushauri utahiriwe au kukusihi kuacha ushoga?
Eti Bishanga, Arushaone, Erickb52, Baba V, Filipo et el kuna jambo la msingi zaidi ya kuwahusia wanaume waache ushoga kwa kuwa UKIMWI unaua? Na mikono sweta si kisababishi kikubwa cha VVU?
Kama pilipili iko shamba afu inakuwasha ka si ushoga ni nini? Eti Walimu Zinduna, Madame B, gfsonwin snowhite?....Nakosea?
Mambo ya msingi kama kukushauri utahiriwe au kukusihi kuacha ushoga?

Babu ushauri mzuri sana huu lakini tatizo wakati mwingine washauriwa huwa wanasumbuliwa na mimba changa.....
uuwii! Zinamatatizo izoo
Ndio kama hao wanaosema hatuna cha kujadili,kwani wao wanajadili nini cha maana wakati wanasiasa wanaowajadili wana siri utafikiri wafuga Fisi...