Nipeni mbinu za kuishi single

Si ndo maana kaomba msaada asaidiwe jinsi ya kumwacha mtu anayempenda ila sio husband material!

Frank tafadhali soma kwa umakini nlichoandika...kwan hujawah ona mtu anamwacha anayempenda kuavoid further problems.
 

asante mpendwa wangu kwa ushaur...ntakupm
 
Mkuu Kaizer umeona anavyojichanganya lakini? Mara bado anampenda ,mara anataka ushauri wa kuishi singo. Which is which?

Msitukane mamba kabla hamjavuka mto..hope ur perfect in ur rship...
 
Last edited by a moderator:

ha ha haaa...u made my day...asante dear
 

ni kweli kabisa..but da problem i cant pretend..wen m hurt iam to the fullest.
 
umeelewa puchu maana yake nini limi?

halafu jifunze kuandika vizuri hapa ni JF, assume kama unaandika kwenye mtihani...hii tx sijui nini sio nzuri. sawa mdogo wangu?

sio mtihan ndio maana i wrote dat way...i assume u undrstand...
 
Last edited by a moderator:
Franky unajua mwenyewe anasema bado anampenda, wapo bado kwenye mahusiano, sasa unavunja mahusiano ya nini, anadhani atakuja kupata mr perfect? ndo anaendelea na ndoto za utopia tu

M a risk taker..
 
Last edited by a moderator:

sidhani..maana kusngekuwa na ndoa if dat so....
 
ni kweli kabisa..but da problem i cant pretend..wen m hurt iam to the fullest.

That's is where you are very wrong my sweet. Hujua love is an art???? USANII ??? Start now, kama unataka kuolewa be a pretender lol!! Hata ukiulizwa maisha club unapajua usijifanye we mjuajiii, akhaaa jifanye siye kwetu baba mkaliii, kwanza ndiyo wapi?
Full mbumbumbu kumbe unajua mpaka kona za vungu za kitanda.
 
limi mbinu mojawapo ni kuomba sana hii thread wasiione: Kaizer na Asprin...maana hakika hutabaki single milele.
 
Last edited by a moderator:
Ni PM namba yako unipe nami nitakupa yangu tuwe tunachati mpaka utamsahau tu huyo jamaa. Usipuuze huo ndio ukweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…