Habari za jioni wanzengo katika jukwaa hili la habari na hoja mchangayiko Kuna mada nimeona nilete kwa wenzangu nyie, hivi ukitaka kuingia chumbani kwa Mtu lakini asije kuskia harafu ya mtu tofauti na yeye alieingia mnafanyanje,
Napiga hesabu nikaoge niingie mkavu kabisa asiskie harufu ya jasho Wala harufu nyingine tofauti na yake nitumie mbinu Gani wazee nawasilisha
Napiga hesabu nikaoge niingie mkavu kabisa asiskie harufu ya jasho Wala harufu nyingine tofauti na yake nitumie mbinu Gani wazee nawasilisha