Nipeni mawazo kwenye hili

name 97

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2023
Posts
200
Reaction score
553
Niko na mahusiano na huyu binti kama mwezi hivi.Na hajawahi niomba hela. Leo ameniomba 25k.

Lakini hali yangu sio poa, na nimeogopa kumwambia ukweli kuwa sina.

Kwa sababu nikimwambia ukweli kuwa sina nahisi tutakuwa tumefika mwisho.

Sasa nimemuhaidi baadae lakini nafikiria kumb-kama defensive mechanism nisiumie kivilee.

Sema nimejifunza kitu kuwa kwa hali yangu ya kiuchumi, uwezo wa kutoa hela kwa babies sinao bado. Sasa nawaza, Je nitakuwa sahihi?

 

Mwambie ukweli acha ushamba man, hiyo low confidence ita kukost
 
Acha wenge mwambie tu huna ila siku ukipata mtumie bila Ata yeye kuombe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…