Nipeni machimbo ya weekend

Kahama ni levo zingine viwanja vingi sana, alafu ni karibu sana na shinyanga kuliko mwanza, mwanza mbali japo internationally starehe ila kahama karibu
Kahama. Kuna hela sana kuliko Shinyanga manispaa ndio maana hata Matamasha makubwa ya burudani like Fiesta, huwa yanaenda Kahama and not Shinyanga. Kuna chimbo moja linaitwa Magic 101. Bado liko hot?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…