Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,106
- 64,104
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, naona hapo serengeti pamenishawishi, naweza kuona mizigo mizuri ya viwango.Inategemea unataka nini? Kama unataka Classic zone bia bei juu, nenda hapo Level 1 Lubaga. Kama unataka Changanyikeni (harufu ya perfume na mineli) hapo Bakulutu patakufaa. Kama unataka sehemu ya kijanja, basi Serengeti patakufaa.
Clubbing culture ilipokufa na Butiama imekufa. Sasa hivi kuna kisehemu tu pale unakula beer na kucheck mpira.Vipi Butiama ilisha kufa ?
Si utani, inanikumbusha mbali sana Butiama miaka ya 98, 99, 2000 disco lilikuwa limechanganya sana paleClubbing culture ilipokufa na Butiama imekufa. Sasa hivi kuna kisehemu tu pale unakula beer na kucheck mpira.
Sijui sasa though, maana nimefika pale last time 2024 Nov
Mbona unanitisha mkuuBora ungekimbia kahama hapo, ila kasheshe ni ukimwi tu huko ni hatari Yani dah
Yah, utang'oa tu uzuri hapo hapo kuna Lodge.Mkuu, naona hapo serengeti pamenishawishi, naweza kuona mizigo mizuri ya viwango.
Ukimwi upo kila sehemu, ila Malaya 99% ukimwi ni nadra.Bora ungekimbia kahama hapo, ila kasheshe ni ukimwi tu huko ni hatari Yani dah
Miaka hiyo sikuwepo. Mimi nimefika hapo mara ya kwanza miaka ya 2010 weekend ndio tulikuwa tuna Disco sana hapo. Kipindi hicho hiyo Club iko hot sana. Nadhani sasa hivi inaitwa Minaz.Si utani, inanikumbusha mbali sana Butiama miaka ya 98, 99, 2000 disco lilikuwa limechanganya sana pale
Na mazingira centre bado hapajachangamka au kumekurfa kabisa
😅 Umenikumbusha Bijampora. Kuna kisanga huwa sikisahau hapo.Bora ungekimbia kahama hapo, ila kasheshe ni ukimwi tu huko ni hatari Yani dah
Mazingira centre bana last time naiona iko hoi. Pale pakipata muwekezaji, msosi, ki live band, ni eneo zuri sana la mtoko.Si utani, inanikumbusha mbali sana Butiama miaka ya 98, 99, 2000 disco lilikuwa limechanganya sana pale
Na mazingira centre bado hapajachangamka au kumekurfa kabisa
Shinyanga naona umeishi sana Mkuu.Si utani, inanikumbusha mbali sana Butiama miaka ya 98, 99, 2000 disco lilikuwa limechanganya sana pale
Na mazingira centre bado hapajachangamka au kumekurfa kabisa
Pale kodi ya kutumia eneo inaweza kuwa bei gani kwa mwezi?Mazingira centre bana last time naiona iko hoi. Pale pakipata muwekezaji, msosi, ki live band, ni eneo zuri sana la mtoko.
Ndio uhalisia, kahama Kuna sehemu ukiingia Malaya wanajua kuoga asee, unajua Kanda ya ziwa ukiacha mwanza sehemu zingine Malaya hawajui kuvaa, ila kahama balaa wanavaa si mchezo simple sana kushawishiwa kupigaMbona unanitisha mkuu
Mhhh ila kweli Malaya wanajitunzaUkimwi upo kila sehemu, ila Malaya 99% ukimwi ni nadra.
Itabidi nitafute siku niende na huko kuosha machoNdio uhalisia, kahama Kuna sehemu ukiingia Malaya wanajua kuoga asee, unajua Kanda ya ziwa ukiacha mwanza sehemu zingine Malaya hawajui kuvaa, ila kahama balaa wanavaa si mchezo simple sana kushawishiwa kupiga
Sina hakika, ila sidhani kama itapungua laki 5. Ni compound kubwa sana ile. Na nadhani ni eneo liko Chini ya Manispaa au Wizara.Pale kodi ya kutumia eneo inaweza kuwa bei gani kwa mwezi?
Kwani Uko Shy sehem gani?Itabidi nitafute siku niende na huko kuosha macho
Kahama ni levo zingine viwanja vingi sana, alafu ni karibu sana na shinyanga kuliko mwanza, mwanza mbali japo internationally starehe ila kahama karibuItabidi nitafute siku niende na huko kuosha macho
Kaka Fanya upakodi mziki mkubwa USIKU asubuhi supu chapati ndizi nk unapiga pesa tu vizuriSina hakika, ila sidhani kama itapungua laki 5. Ni compound kubwa sana ile. Na nadhani ni eneo liko Chini ya Manispaa au Wizara.
Kwa sasa kuna huduma yoyote pale?Sina hakika, ila sidhani kama itapungua laki 5. Ni compound kubwa sana ile. Na nadhani ni eneo liko Chini ya Manispaa au Wizara.