Nipeni kazi ya kunikeep bizy

Serious aisee Mimi kwa Hawa viumbe hasa wale walioumbika wenye shepu " wale mungu alipotuliza akili kipindi anawaumba" nikiwaona Hawa nakuwaga mdhaifu Sana nitafanya kila niwezalo hata Kama Yuko katikati ya watu nipate mawasiliano yake na nikishamuingiza kwenye 18 kinachofuata Ni kupima damu na magonjwa ya zinaa then kugegendana.
Hawa viumbe Ni watamu Sana asikuambie mtu, yaani sinywi pombe, sivuti bangi,sigara Wala kilevi.. baada ya kuhitimu uhandisi chuo na kuanza maisha yangu Hawa ndo starehe yangu.... Sina ratiba ya kuoa na Wala mtu asiniambie kuoa, Hawa viumbe nimeanza kuwala tangu O'level Ila utamu wao hauishi.
Any way acha Mimi nishindane nao
 
Mi nataka niachane nao sasa mkuu

CC Zero IQ
 
Mkuu kuna watu hawapo busy kama wauza kiepe? Hawa huwa wanachoka sana kutwa yao aisee Chips yai chips mishikaki chips firigisi chips maini hapo wateja kila mmoja anakutizama wewe tu unakuaje haupo busy

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ndo najiuliza apo, anapata wapi mda wa kugegeda, kwenye biashara ya chipsi? Labda atafutiwe kazi ya kuingiza data kwenye computer pengine ndo atakuwa bize
Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom