Nipeni kazi ya kunikeep bizy

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,518
2,000
Juzi nimekuja na bandiko hapa la kuomba kupewa ushauri jinsi ya kuacha kuwagegeda mademu tofauti tofauti,

Kutokana na Nature ya kazi yangu kuuza kiepe inanifanya nikutane na hawa viumbe kila mara hivyo kuzidisha kuniweka majaribuni ata pale moyo wangu unapokataa niseme tu ukweli Moyo wangu ni dhaifu kweli kweli

Nawaomba Ndugu zangu mnaonitakia mema mimi mr Zero iQ, mnipatie kazi itakayonikeep bizy almost 10 to 12,hours per day

Kama ikishindikana basi yeyote mweye karakana ya Aluminium yaani fundi wa kutengeneza milango, madirisha material yoyote ya aluminium aniunganishe hapo nipate ujuzi wa kunikeep bizy,

Pia kama kuna sehemu ya kutengeza sofa,vitanda na Nk. Niunganisheni hapo nikawe bizy huku najifunza ujuzi,


Note:
Kama hofu ni uhaminifu basi nitatoa
--Cheti changu cha kuzaliwa
--cheti cha kumaliza darasa la saba
--cheti cha kuhitimu kidato cha nne
--cheti cha kuhitimu course kilichosajiliwa na kutambuliwa na baraza la pharmacy Tz kwa mmiliki wa kazi.
Ps
--Location niko dodoma mjini kabisa

CC Zero IQ
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,635
2,000
Mkuu kuna watu hawapo busy kama wauza kiepe? Hawa huwa wanachoka sana kutwa yao aisee Chips yai chips mishikaki chips firigisi chips maini hapo wateja kila mmoja anakutizama wewe tu unakuaje haupo busy

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ebu kuwa muelewa...
Kijana ameweka wazi kitu cha kumkeep busy, sasa sisi wahenga tayari tumemuelewa mujarab kabisaaaaa...tehteehh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom