VANCOUVER
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 336
- 18
Naumwa korodani yapata mwaka sasa.
Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine.
Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote.
Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.
jaribu kwenda kwa waganga wa kienyeji inawezekana ukawa umepigwa juju. USIDHARAU