Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,573
- Thread starter
- #21
Uzuri mteja anaenda dukani kutafuta kitu anachokijua tofaut na biashara ya dawaScrew zinamulika mulika?
Wewe hii biashara ya umeme huiwezi, utakuja kuua watu bure.
Ushauri:
Tafuta jiko la mkaa ufanye biashara ya kuchoma mishikaki ya nyama ya mbwa na chips. Utapiga pesa kuliko mwamposa