Umetaja maeneo ya bata tu, sasa experience haishii kwenye mvinyo nba kuku tu.La Charlz, ni club na pub kubwa na maarufu iko majengo karibu na lamoly.
Chantaburi ni club na pub kubwa na maarufu tena mpya iko Bombambili.
Ruhuwiko Hunt Club, hii ni ya 3⭐ iko Ruhuwiko, ni sehemu maalumu ya watu wa heshima, maarufu na maalumu.
Bwawani, hii ni sehemu ya starehe kwa rika zote, iko Namanditi njia ya Mbinga.
Na kadhalika.
Uwanja wa maji maji, huu ni uwanja wa kihistoria, unapatikana mjini kati.Umetaja maeneo ya bata tu, sasa experience haishii kwenye mvinyo nba kuku tu.
kuna maeneo ya kihistoria, hifadhi za asili au kale, utamaduni au fursa za kibiashara.
Unatokea mkoa wa Ruvuma?Uwanja wa maji maji, huu ni uwanja wa kihistoria, unapatikana mjini kati.
Mashujaa, hapo ni kuna kumbu kumbu ya wapiganaji wa zamani, makaburi yao na baadhi ya silaha walizotumia, eneo ni hapo Mahenge.
Soko kuu, hili linapatikana mjini kati.
Soko la bombambili,
Soko la mazao, linapatikana msamala.
Soko la samaki na dagaa, linapatikana mfaranyaki.
Peramiho mission hospital na seminari kuu,
Ni vyanzo vikuu vya tiba na Elimu kwa wamisionari wakiwa hapa enzi hizo, zinapatikana Peramiho, nje kidogo ya mji wa Songea
Maliasili, hapa kuna hifadhi ndogo ya wanyama, imeanzishwa km miaka 3 nyuma, linapatikana Mtaa wa Mkuzo.
Etc.
ewaa hapa ni 🔥🔥Uwanja wa maji maji, huu ni uwanja wa kihistoria, unapatikana mjini kati.
Mashujaa, hapo ni kuna kumbu kumbu ya wapiganaji wa zamani, makaburi yao na baadhi ya silaha walizotumia, eneo ni hapo Mahenge.
Soko kuu, hili linapatikana mjini kati.
Soko la bombambili,
Soko la mazao, linapatikana msamala.
Soko la samaki na dagaa, linapatikana mfaranyaki.
Peramiho mission hospital na seminari kuu,
Ni vyanzo vikuu vya tiba na Elimu kwa wamisionari wakiwa hapa enzi hizo, zinapatikana Peramiho, nje kidogo ya mji wa Songea
Maliasili, hapa kuna hifadhi ndogo ya wanyama, imeanzishwa km miaka 3 nyuma, linapatikana Mtaa wa Mkuzo.
Etc.
Hapo mkuzo ukienda unatembea Hadi unakoma kutafuta hao wanyama🙌Uwanja wa maji maji, huu ni uwanja wa kihistoria, unapatikana mjini kati.
Mashujaa, hapo ni kuna kumbu kumbu ya wapiganaji wa zamani, makaburi yao na baadhi ya silaha walizotumia, eneo ni hapo Mahenge.
Soko kuu, hili linapatikana mjini kati.
Soko la bombambili,
Soko la mazao, linapatikana msamala.
Soko la samaki na dagaa, linapatikana mfaranyaki.
Peramiho mission hospital na seminari kuu,
Ni vyanzo vikuu vya tiba na Elimu kwa wamisionari wakiwa hapa enzi hizo, zinapatikana Peramiho, nje kidogo ya mji wa Songea
Maliasili, hapa kuna hifadhi ndogo ya wanyama, imeanzishwa km miaka 3 nyuma, linapatikana Mtaa wa Mkuzo.
Etc.
Duuh viwanja vyote hivyo ongeza vingineLa Charlz, ni club na pub kubwa na maarufu iko majengo karibu na lamoly.
Chantaburi ni club na pub kubwa na maarufu tena mpya iko Bombambili.
Ruhuwiko Hunt Club, hii ni ya 3⭐ iko Ruhuwiko, ni sehemu maalumu ya watu wa heshima, maarufu na maalumu.
Bwawani, hii ni sehemu ya starehe kwa rika zote, iko Namanditi njia ya Mbinga.
Na kadhalika.
Ndio kwaoUnatokea mkoa wa Ruvuma?
Ipo Songea pazuri - Mfaranyaki, Virginia-Mararawe na Triple 7 -Msamala hivyo viwanja vya Bata mengine aseme anataka nini aelekezweLa Charlz, ni club na pub kubwa na maarufu iko majengo karibu na lamoly.
Chantaburi ni club na pub kubwa na maarufu tena mpya iko Bombambili.
Ruhuwiko Hunt Club, hii ni ya 3⭐ iko Ruhuwiko, ni sehemu maalumu ya watu wa heshima, maarufu na maalumu.
Bwawani, hii ni sehemu ya starehe kwa rika zote, iko Namanditi njia ya Mbinga.
Na kadhalika.
Ndiyo, mie ni Wakunyumba.Unatokea mkoa wa Ruvuma?
Tripple 7, iko msamala.Duuh viwanja vyote hivyo ongeza vingine
😂😂😂😂 hatari sana Mlongo.Hapo mkuzo ukienda unatembea Hadi unakoma kutafuta hao wanyama🙌
Na hapo wapi nawapata Watoto wazuri? Hata Yesu alisema waacheni Watoto wazuri waje kwangu.. nipe uelekeo mkuuTripple 7, iko msamala.
Virginia, iko matarawe
Ndungunya iko Msamala
Kwa Disi, hapa ni maarufu kwa kitimoto na nyama choma.
Delight Garden park, ni cafeteria na restaurant, linapatikana mkabala na hospital ya mkoa.
Krista park, cafeteria na restaurant, inapatikana nyuma ya makao makuu ya TANESCO mkoa.
Himo Garden, restaurant na cafeteria linapatikana mkabala na Krista park.
Etc
Chantaburi na La chalz.Na hapo wapi nawapata Watoto wazuri? Hata Yesu alisema waacheni Watoto wazuri waje kwangu.. nipe uelekeo mkuu
Haaapo sawa mkuuChantaburi na La chalz.
Poaaa!!Haaapo sawa mkuu
Ndio wapi?Aisee😁,mie nipo huku home Kwa kina nchimbi,songea hata sijuii vizuri napitaga TU