Nipe tasfiri tano kwa hii picha

Nipe tasfiri tano kwa hii picha

Na ndio ukweli wa maisha. Mafanikio ni zaidi ya kazi ngumu!
 
Picha 1: Gwaride wakati wakienda vitani wakiwa wazima wa afya na wenye nguvu zao na viongozi wakiwa hawana NYOTA hata moja.

Picha 2: Viongozi wao wanatunikiwa NYOTA na kupandishwa vyeo baada ya washikaji kupigana hadi wengine kupata ulemavu na wengine kufa kwenye majeneza.
 
Ok,angalia vizuri..baada ya kurudi vitani nini tena kimetokea kati ya picha ya kwanza na ya pili.
mabwanyenye mbali na kwamba wote wako hai bali pia imekula vyeo vya ajabu.
In short iko hivi ''Ujinga wenu ndio ufauru wetu wa maisha''
 
War means old man talking young men dying
 
Picha 1: Gwaride wakati wakienda vitani wakiwa wazima wa afya na wenye nguvu zao na viongozi wakiwa hawana NYOTA hata moja.

Picha 2: Viongozi wao wanatunikiwa NYOTA na kupandishwa vyeo baada ya washikaji kupigana hadi wengine kupata ulemavu na wengine kufa kwenye majeneza.
Na tena pamoja na ulemavu wao hawatapandishwa vyeo ikiwezekana na kupewa mafao ya kustaafu kabisa
 
MI nipe ya hii
1470139926991.jpg
 
Back
Top Bottom