Cleopatra 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 210
- 307
Haijapata wakuitoa mkuuCleopatra mpka leo iyo bikra haijatolewa mkuu?
Muda huo sina mkuuSikiliza nyimbo ya Ney Hela
Emu rejea swali kwenye madaNaomba uniruhusu kuja huko pm kwa ajili ya mtongozo uone kama na mimi nitakosea... Tatizo huenda wote wanaokutongoza wanakimbilia kuomba chini... Mimi nitaanza na kuomba juu!
Ngoja nikutafute niitoe mkuu maana unakosa vingi mkuuHaijapata wakuitoa mkuu
Mkuu hiyo bikra itakuwa ya puaHaijapata wakuitoa mkuu
Hahahaha! Tulia wewe!duh wanakutongozaje ? hili mi nione wamekosea wapi halafu nitawafundisha
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wamitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men.
Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anae nitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
ha haha shauri yakoHahahaha! Tulia wewe!
Ngoja nifundishwe kwanza namna ya kuitikia mitongozo mkuuNgoja nikutafute niitoe mkuu maana unakosa vingi mkuu