Nipe mimi ile nakulana na mwensie ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipe mimi ile nakulana na mwensie !

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DAWA YA SIKIO, Dec 20, 2011.

 1. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Masai akiwa kwenye duka moja la vifaa mchanganyiko.

  MASAI : Nipe ile iko nakulana na mwensie !

  MUUZAJI : Nini shoka ?

  MASAI : Hapana shoka [choka],iko natoka hapo karibu tu !

  MUUZAJI : Nini tupa ?!

  MASAI : Hapana tupa yeloo ! Nipe mimi !

  MUUZAJI : Panga ?!

  MASAI : Hapana panga ,furugafuruga mpaka napata ile inakulana na mwensie ifi ifi ifi [akionyesha ishara kama ananoa kitu].

  Hapa muuzaji,akachoka na kumrundikia vitu kibao mezani achague ! Maasai kwa hasira akaokota tupa na kumgonga nayo muuzaji kichwani.

  MASAI : Nasumbua mimi mida mingi kumbe iko yeye inakulana na mwensie ! Acha chesea mimi we swahili !!!
   
 2. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mmmh nahic ilikuwa zaman
   
 3. M

  MARTINSICHILIMA Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ulivyoanza nikajua anataka nanii, kumbe ni tupa.
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  teh hii imetulia
   
 5. f

  fmwanda Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekaa mkao shda ni umaliziaji wa mchakato but kip it again
   
Loading...