Nipe kiwanja nikupe gari

Nipe kiwanja nikupe gari

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
127
Reaction score
20
Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza au Shinyanga au Nzega. Nakupa Toyota Gaia au Toyota Platz zote zikiwa na mwaka tangu ziingie Tanzania. Chagua gari kati ya hizo then kama kiwanja kipo vizuri nakuongeza na cash
Nipm
 
Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza au Shinyanga au Nzega. Nakupa Toyota Gaia au Toyota Platz zote zikiwa na mwaka tangu ziingie Tz. Chagua gari kati ya hizo then kama kiwanja kipo vizuri nakuongeza na cash
Nipm

Kila la kheri... Lakini kwanini usiuze gari upate hela ndo ununue kiwanja? Au hayauziki??

Ngoja niangalie atakayekuwa na hiyo bahati mbaya ya kubadilisha dhahabu kwa shanga.....
 
Kila la kheri... Lakini kwanini usiuze gari upate hela ndo ununue kiwanja? Au hayauziki??

Ngoja niangalie atakayekuwa na hiyo bahati mbaya ya kubadilisha dhahabu kwa shanga.....

Gari ni nzuri. Mimi lengo kiwanja. Hela ukinipa zitaisha kabla kiwanja hakijapatikana
 
Labda bei ya gari ni chini.

Si anaongezea na hiyo cash ambayo atampa huyo mtu..........
njoo mwaya Kisiwa nikupeleke Mkonoo.........wenzio ndio tunavuna maharage............
 
Last edited by a moderator:
Open space itakufaa mkuu kipo Kwa ajili ya kuchezea watoto ukijenga mpaka waje kubomoa na gari litakuwa limeharibika
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    9.1 KB · Views: 239
Bora angesema IST au subaru forester...............

Platz ukiicheki kidogo ikae kama Hyundai. Kwa nyuma sasa ki boot kilivyokaa afu ilivyo fupi.

IST kirembo sweetie. Kinatizamika.
 
Back
Top Bottom