- Thread starter
- #21
Hapa Kuna jambo so bureeee.
Ni biashara tu mkuu. Usidhani hata mimi nitachukua kiwanja chochote. Yaani hadi niridhike nacho
Hapa Kuna jambo so bureeee.
lakini on a serious note mkuu kwanini usiuze gari hiyo cash ununue kiwanja?Ni biashara tu mkuu. Usidhani hata mimi nitachukua kiwanja chochote. Yaani hadi niridhike nacho
lakini on a serious note mkuu kwanini usiuze gari hiyo cash ununue kiwanja?
Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza au Shinyanga au Nzega. Nakupa Toyota Gaia au Toyota Platz zote zikiwa na mwaka tangu ziingie Tanzania. Chagua gari kati ya hizo then kama kiwanja kipo vizuri nakuongeza na cash
Nipm
Vpi kijijini unachukua? au unataka mwanza city, tabora mjini, shy mjini tu? vp ktk wilaya zake, umbali toka hilipo hadi mjin? sifa unazotaka?
Tuwazoee tu mkuu. Humu ndani kuna watu wa aina mbalimbaliDah, kuna watu huwa wanavijitabia vya kitoto sana, mtu kaleta bango lake lina maelezo ya kutosha, anakohitaji kiwanja na alichonacho cha kubadilishana....mwisho wa siku watu wanaleta story tofauti kwenye uzi wa mwenzao!
Mwanza mjini, Shy Mjini na Nzega Mjini. Kiwe kikubwa sehemu ambayo naweza kuwekeza ndo maana niko tayari kuongeza hela
Nyashishi unaweza au mapilinga karibu na Misungwi?
Mkuu gari ni ile ile tu. Haitabalika whether iunzwe kwa cash au la. Wewe kama una cash sema tufanye biashara