Nipe faida/hasara za kulala kwenye Vitanda hivi

Kuelewa, umeelewa financial services. Halafu acha uongo kwamba siyo mke wa mtu. Una maana gani unaposema hivyo? Sema hajaja rasmi. Nikukumbushe?
Aki sikuelewa au labda nilikua na usingizi mda huo! Afu unataka unikumbushe nini? 😀😀 siyo mke wa mtu as i said.
 
Hakuna uhusiano.
Usiku unanyandua lkn asubuhi amenuna
Miaka ya nyuma walilalia vitanda vya 3*6, nadhani ilipelekea mahusiano ya wanandoa kudumu, imagine wanakorofishana asubuhi ila usiku ndio hivyo tena kitanda hakiruhusu kila mtu kuchukua upande wake, so wanalala kwa kukaribiana kabisa, na kwakua mablanket yalikua adimu iliwalazimu kukumbatiana kulipunguza. Ndo maana wanandoa zamani walikua na uwezo wa kukorofishana leo ila kesho wakaamka kitu kimoja tena


Hizi 6*6 kiukweli sivielewi, heri 5*6


NB:- I dont stand to be corrected!
 
Back
Top Bottom