Nipe Bajaji nikupe kiwanja

Nipe Bajaji nikupe kiwanja

libumi

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
58
Reaction score
13
Naitaji bajaji hasa ya abiria used kidogo nikupe kiwanja high density kilichopo shinyanga mjini papale,kilishapimwa hati bado. Mimi siishi huko tena ,aliye seious ani PM
 
Sasa kwanini usiuze hicho kiwanja ukanunua bajaji mwenyewe?
 
Hahaha,asiee swali muhim sana
Ila na yeye anaweza kuwa alikiuza kimechelewa,sasa anamtafuta mwenye Bajaji ambae nae pia anauza Bajaji yake imegoma kutoka. Sasa hii Colabo itakuwa nzuri sana kwao
 
Hahahah true,nimekupata. Ila ni muhimu akisema ukubwa au thamani ya hicho kiwanja
 
Back
Top Bottom