Kunywa maji kwanza MKUU twende pole pole
Mtoto gani aloingizwa vitani na RUSSIA achana na propaganda za biibiisiii
Kama mabunge yenyewe nikama yale ya US yalioamrisha kuvamiwa IRAQ kwamadai ya uongo nikheri yasisikilizwe PUT IN yupo sahihi kwa 100 maana maslahi na usalama wataifa ukihatarishwa unatakiwa ulindwe kwa gharama zozote hata wtu kufa kama UKRAINE basi acha wafe hata wote
Kama maoni ya raia hayana maslahi na yanahatarisha usalama wa taifa la RUSSIA nilazima yadhibitiwe kwanguvu kubwa kwel kwel ikibidi watoaji maoni wanyongwe maana wanatumika
RUSSIA kama taasisi hawauelewi mwendo wa DUNIA halafu wewe unauelewa pole sana RUSSIA wanauelewa mwendo wa DUNIA nandio maana hawajawahi kusapoti mashoga wasagaji nk sababu wanajua DUNIA inatakiwa iende namna gani
Wamsapoti PUT IN kwaajili ya UDINI kwakua PUT IN nimuislam mwenzao wadhehebu gan hizo PROPAGANDA nyengine ambazo mmelishwa PUT IN anasapotiwa sababu anatenda hakki anahurumia wanyonge na akiua anakua na uhakika kwamba anaeuliwa anatakiwa auliwe labda itokee tu bahati mbaya wasaliti lazma wafe na manazi wa UKRAINE lazma wafe hakuna namna yaani lazma wafe
Kweli waathirika wasimulizi hasi kama yale mauaji ya HIROSHIMA na NAGASAKI kuua watu kila pembe ya DUNIA
US anatakiwa alaaniwe nakila kiumbe mpaka samaki kule baharini
Kuisapoti US inayoua watu bila sababu kusapoti UBARADHURI inatakiwa kwanza ujitoe ufahamu au uwe huna akili
4by94
Sent using
Jamii Forums mobile app