Nionavyo Tena kwenye operation ya Urusi dhidi ya ukraine

Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka.

Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa.
Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia ya nchi mbili hizi.

Wengi hawajasoma juu ya "cold war".

Kabla ya kuivamia Ukraine Urusi ilikua inajua Ukraine inafanya Nini,imeficha silaha wapi na askari wake wanafundishwa na nani(USA na baadhi ya NATO).

Kabla ya vita Urusi ilikua inajua nikiingia kuipiga Ukraine USA ama NATO wataingia kuisaidia Ukraine ama watampatia silaha.

Kabla ya op Urusi ilikua inajua USA au NATO watafanya Kila liwezekanalo kurefusha vita ili kumchosha Urusi na hatimae kumdhoofisha kijeshi na kiuchumi.

Kabla ya op Urusi alijua atawekewa vikwazo mbalimbali ili adhoofike kiuchumi.

Kwa Nini nayasema haya,

Nayasema haya kwa sababu Urusi iliwahi kuipiga Afghanistan,
Kilichotokea ni kama hiki
USSR ilijikuta inapigana na mataifa yote makubwa Duniani.
Kama kawaida hawakuingiza majishi lakini waliwasaidia Afghanistan kwa silaha na Intelijensia ya vita.
Nchi zilizoisaidia Afghanistan ni USA ,UK,German,China,saud Arabia, Pakistan, na NATO wengine pamoja na vikundi vya akina Osama bin laden.
Urusi ilikua inapigana na Mujahedeen waliokua jeshi la Serikali ya Afghanistan iliyoondolewa na Urusi.
Hawa walisaidiwa kwa silaha na fedha kuikabili Urusi.

Hivyo Urusi inajua tabia za USA na west pale inapoingia vitani na nchi nyingine.

CHECHEN na Putin
Wachechinia ni wakazi Urusi wanatokea katika Jimbo la Chechen.
Hawa jamaa Wana Mila na desturi za tofauti na Warusi wengine,ila sehumu kubwa kama sio 100% ni waislam.
Hawa wakati wa utawala wa Boris Yeltsin walikua na mawazo ya kujitenga,nadhani mawazo hayo yalipandikizwa na Adui namba moja wa Urusi,USA.Ushahidi upo.
Walipewa misaada ya fedha kwa Siri kutoka USA ili wajitenge.

Kweli bana.
Wakianzisha vita kutaka kujitenga na Urusi,Rais akiwa Boris Yeltsin.

Kama mnavyojua Boris alikua sio kiongozi makini sana,alikua mlevi mbwa na mpuuzi ingawa alikua ana akili sana.
Jeshi la Urusi lilipuuzwa sana,halikupewa kipaumbele,kulikua Kuna ufisadi,askari ahawana morale,mahitaji ya wanajeshi hayakutiliwa maanani,na hawakuheshimika kabisa ,hivyo wanajeshi hawakua na moyo kabisa kwa Kila jambo.
Basi bana vita kati ya waasi wa Chechen na wanajeshi wa Serikali ilipigwa vikali sana,matokeo yake askari wengi wa Serikali ya Urusi walikufa sana na maiti kuzagaa mitaani.

Vladimir Putin.

Boris Yeltsin aliteua na kutumbua mawaziri wakuu wa Urusi kama wanne hivi na wengine walihudumu kama kwa mwezi hivi.
Na hatimae akamteua VVP.

Vladimir Vladimilovic Putin alipoingia kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu akakuta jeshi la Urusi linasumbuliwa na waasi wa Chechnya.
Putin akapanga safu yake akaongea na wanajeshi wakaelewana.

Jeshi la Urusi likaenda mara nyingine kukabiliana na waasi wa Chechnya.
Aisee kipigo walichokipata hao wachechen Mungu ndio anajua.
Walipewa kipigo Cha paka mwizi na wakashindwa vibaya sana na majeshi ya Urusi.
Wakadhibitiwa vibaya sana na wakashindwa vita hiyo,na makamnda wao wengi wakakamatwa na kufungwa magerezani.

Sasa kilichotokea, ni wakaachana kabisa na vita dhidi ya Ujeshi imara la Urusi,wakaanzisha mapambano kwa njia za Ugaidi.
Wakaanza kulipua majengo,kuteka kumbi za starehe mfano ule ukumbi wa maigizo moscow,kuteka shule za vitoto vidogo kule Beslan,na kulipua njia za usafiri.

Kutoka kuwa makamanda wa jeshi Hadi kuwa Viongozi wa Ugaidi wa Chechen.

Baadae Putin akaja kuwa Rais

Hapa Putin akaanza msako mkali kwa Hawa Viongozi wa Ugaidi ndipo kiongozi wa Chechen wakati huo Aslan Mashkadov kiongozi Mkuu, na Bashir Yanayev kamanda Mkuu wa chechen walipokua wakisakwa vikali na putin na hatimae GRU na FSB Spetsnaz walipofanikiwa kuwaua kwa nyakati tofauti na kwa mahali tofauti.
Walikuwa wakiwasaka wapiganaji magaidi wote walikua chini ya hawa na kuwauwa na wengine kufungwa.Hatimae wakasalim amri baadae Putina akakaa na waliobaki akawapa mpango wake wa kuwa na uhuru kamili lakini chini ya Serikali kuu ya RF nao wakaupenda mpango huo na wakakubaliana, na Sasa Leo unawaona wanampenda na kumtii putin.
Urusi hakuna Ugaidi Tena na nchi Iko salama sababu ya Putin.
Hii OP ilimpa Putin umaarufu mkubwa na kupendwa sana Urusi.

Operation ya Sasa ya ukrine.

Urusi kama ilivyo USA Ina majasusi Dunia nzima.
Wanajua Kila kitu USA au NATO wanafanya juu ya Urusi.

Ukiacha majasusi watu Urusi Ina vyombo vya kuweza kuona chochote Cha kijeshi USA anachofanya Dunia nzima.

Urusi anajua uwezo na udhaifu wa USA.

Urusi peke yake imeweza kuwafukuza USA,UK na FR nchini Syria, na kuvunja mpango wao wa kutaka kumtoa Assad madarakani,
Urusi imeweza kuzuia mpango wa USA kutaka kumtoa Maduro madarakani.

USA inapoenda kuzivamia nchi dhaifu kama Iraq ama Afhanistan ama hata Libya huenda na kundi la nchi nyingine kuisaidia USA ,wakati hiyo n hi inayokwenda kupigwa (Iraq na Afhanistan)Huwa imewekewa vikwazo ama imepelelezwa kwa mgongo wa UN mfano Iraq.
Mifano IPO.

Kinyume chake Urusi ikipigana na nchi,nchi hiyo hupewa misaada ya silaha na Kila kitu itakachohitaji na safari hii tumeona pia Urusi imewekewa vikwazo vizito mno..

Pia ikumbukwe Ukraine ni nchi yenye Nguvu kijeshi mara Tano kuliko ilivyokua Iraq kabla ya kupigwa na USA .
Ukraine Ina viwanda vya silaha,mitambo,magari na Kila aina ya bidhaa.
Ukraine Ina jeshi zuri kabisa na zaidi kabla ya hii Op ilikua inafundishwa na USA ,UK,fr na wengieo,pia ikipewa Silaha.
Na hata Sasa hivi inafundishwa na hai na inapewa silaha.,lakini Cha ajabu Urusi inaipiga taratibu bila kujali misaada hiyo.
Je?
Urusi ni dhaifu?
Urusi ni maskini?
Urusi ilikua inakuzwa?
Urusi imekurupuka?
Kwangu mimi Urusi nchi yenye jeshi kubwa kabisa hapa duniani.
Kama alivyosema Biden "hatuwezi kupeleka jeshi letu kupigana na Urusi moja kwa moja,safari hii tuna Dili na moja ya jeshi kubwa kabisa hapa duniani,hatudili na magaidi"

Kama Rais wa USA kasema hivyo,Mimi ni nani Hadi nipinge?

Sore tunajua NATO walichokifanya kwa Yugoslavia,Yugoslavia waliwapiga wakosovo,Bosnia and Herzegovina,NATO walikwenda upande huo na kuwasaidia Kosovo ambae sio mwanachama wa NATO kwa kumpiga mabomu Yugoslavia na hatimae Yugoslavia kusambaratika Hadi kutokea mataifa ya Croatia,Serbia na Kosovo.
Sasa NATO wanashindwa Nini kisaidia Ukraine kwa kuweka hata no fly zone TU?
NATO waliwasaidia waasi wa Syria wakawaita waasi moderate,waasi walichukua miji yote kasoro ilibakibi miji miwili TU,mji Mkuu na Alepo tu.
Alipoingia Putin akarudisha miji yote na waasi kufutwa kabisa..

Vikwazo.
Kwa kawaida vikwazo huwa vinawekwa na UN ama nchi moja binafsi inaweza kuacha kushirikiana na nchi nyingine,lakini USA na EU
Wanazilazimisha nchi ambazo hazina ugomvi na Urusi ziiwekee vikwazo hii sio sawa.
Mbona wao wakati wa ubaguzi wa South Afrika,UN waafrika walipotaka.SA iwekewe vikwazo mbona wao waliendelea kufanya biashara na SA na hatukuwalazimisha?

USA ana kile anachokiita Allies wake lakini anataka kulazimisha Allies wa Urusi wamtenge mfano BRICS.
kulaani ama kuweka vikwazo ni hisia,kama Sina hisia za kulaani usinilazimishe kulaani,kama Nina maslahi usinilazimishe niweke vikwazo.

Matokeo ya vikwazo yamekua kinyume kabisa,wanasema vitaanza kufanya kazi miezi au miaka kadhaa baadae,je Urusi wakipata.ufumbuzi wa vikwazo hivyo nani atakua ameumia?
Hivi wachechiniya walifanikiwa kujitenga au hawakufanikiwa?
 
Unataka kusema kuwa viongozi wa Ukraine ndio ambao wameivamia Ukraine kwa mgongo wa Urusi?

Ama, Urusi inasingiziwa tu na media za west, ila Ukraine imejivamia yenyewe?

Hao wananchi waliomchagua Zelenskyy mwaka 2019 kwa kura zaidi ya 70% ndio "CIA" hao? Maana hili neno "CIA" nimeliona mara nyingi sana humu hivi karibuni!

Karibu unifahamishe!
Akili za wabongo hutaziweza.
 
Hivi wachechiniya walifanikiwa kujitenga au hawakufanikiwa?
Nimeeleza Kila kitu humu.
Hawakufanikiwa kujitenga,Putin aliwapa kipigo Cha paka shume.akawatuliza na akawambia watakua na mamlaka kamili ya ki nchi lakini ndani ya nchi ya RF.
Alowaua Viongozi wote waliokua wakiendesha OP za kutaka kujitenga.
Hapo ndipo kazi za FSB zilipoonekana.
Sasa hivi Chechen ni shwari na wako vizuri kimahusiano na RF na Dio hao unawaona wanapigana kinyama kujilinda Mother Russia
 
Uchambuzi mujarabu kabisa, watu wengi hawaijui vizuri hii ni kutokana na viti vifuatavyo
1. Urusi hana Media platform kubwa kama ya west, angalia BBC, CNN, FOX NEWS etc. Hivi vyombo ni propaganda machinery
2. Urusi hana Entertainment industry kubwa kama ilivyo Hollywood nk. Hivi vyote vinakuza popularity ya nchi
3. Uhusiano na mataifa mengi ya nje.. hapa pia urusi yupo kidiplomasia zaidi, angalia hata hapa Tanzania, ubalozi wa US kila mtu anaujua, ila muulize ubalozi wa urusi utaona.
4. Mbwembwe

Kutokana na hayo hapo juu, watu wengi wanaichukulia Russia kama nchi moja ndogo ya kawaida tu. Sasa mnaweza mkaona jinsi uchumi wa dunia ulivyocheza sababu ya operation yake pale Ukraine

Nb: kwenye military science jamaa ndio wanatisha vibaya mno. Pia wana uwezo mkubwa sana kijeshi, walionesha kwenye vita ya pili. Hata hapo Ukraine ni "zimwi likujualo halikuli likakumaliza" anampiga nduguye kwa huruma sana. Lakini niw kidogo anamkazia nanyi mnaona kinachoendelea.
Kwa iyo Ndio kupitwa kwy maisha
 
Nimeeleza Kila kitu humu.
Hawakufanikiwa kujitenga,Putin aliwapa kipigo Cha paka shume.akawatuliza na akawambia watakua na mamlaka kamili ya ki nchi lakini ndani ya nchi ya RF.
Alowaua Viongozi wote waliokua wakiendesha OP za kutaka kujitenga.
Hapo ndipo kazi za FSB zilipoonekana.
Sasa hivi Chechen ni shwari na wako vizuri kimahusiano na RF na Dio hao unawaona wanapigana kinyama kujilinda Mother Russia
Naskia huko Chechniya kuna chimbwa mafuta yenye ubora wa Hali ya juu,ndo maana walinga'ng'aniwa wasijitenge.
 
Unataka kusema kuwa viongozi wa Ukraine ndio ambao wameivamia Ukraine kwa mgongo wa Urusi?

Ama, Urusi inasingiziwa tu na media za west, ila Ukraine imejivamia yenyewe?

Hao wananchi waliomchagua Zelenskyy mwaka 2019 kwa kura zaidi ya 70% ndio "CIA" hao? Maana hili neno "CIA" nimeliona mara nyingi sana humu hivi karibuni!

Karibu unifahamishe!
Ukraine aliigeuza nchi yake kambi ya silaha za marekani na ulaya pamoja na kuanza kujenga maabara za silaha za sumu kwa msaada wa CIA.

Ukraine aligeuzwa dumping ground ya silaha mbalimbali na mafunzo ya kijeshi kwa malengo ya kilevi tu.

Ukraine alishaunda kundi la chama cha manazi na kuanza kuwapa mafunzo ya kigaidi na kijeshi.

Hao manazi siyo watu wa kiwachekea.
 
Hayo unayoyasema yanahalalishaje uvamizi wa kijeshi?

Hao "manazi" wamo Ukraine tu? Wale "manazi" wengine walioko Urusi na kwingineko ndani Ulaya na Marekani ni watu wa kuwachekea?

Unaifahamu Russian Orthodox Army?
 
Halafu inaonekana watu wengi hawajui uwezo wa urusi kama wanavozijua marekani na nchi za magharibi.kwa miaka karibu ishirini watu wanasikia habari za marekani tu huko ghuba kama iraki.. libya afghanistan mambo ya osama,korea kaskazini nk lakini habari za urusi hazisikiki kabisa na hawazijui.mimi nilisikiaga zamani habari za jinsi urusi alivyomsimamisha dikteta Hitler wakati akiitafuta uingereza kwenda kuikamata na habari zingine za urusi ni kipindi kile iliposambaratika enzi ya vita baridi chini ya Micael Gorbachev.
 
Yote hayo watu wamesoma kama wewe, kuna nyuzi huku zina nondo kuliko unachojua wewe. Ila sasa kusema wewe tu ndio unajua inatia mashaka.
 
Hayo unayoyasema yanahalalishaje uvamizi wa kijeshi?

Hao "manazi" wamo Ukraine tu? Wale "manazi" wengine walioko Urusi na kwingineko ndani Ulaya na Marekani ni watu wa kuwachekea?

Unaifahamu Russian Orthodox Army?
Yanahalalisha kwa 100% sababu yanahatarisha usalama wataifa kubwa kabisa ulimwenguni la RUSSIA
Hao manazi yaliopo UKRAINE niyale yenye misimamo mikali kabisa yakufurutu ada ambayo yanatakiwa kuangamizwa kwagharama zozote zile nandio OP inaendelea vyema kama ilivyopangwa
PUT IN kiongozi makini sanaaa
 
Ni wazi kabisa kuwa Urusi ilikurupuka kwenye strategy ya awali. Hawakufanya anticipation sawasawa kuhusiana na adui waliyekuwa wanajiandaa kumkabili na kiwango tarajiwa cha upinzani walichokutana nacho.

Ndio maana tumeshuhudia mabadiliko ya ghafla ya kimkakati huku mapigano bado yakiendelea kuwa makali na madhara yakizidi kuongezeka pande zote.
Upo sahihi kabisa, wameamua kuvihamishia Vita huko mashariki mwa Ukraine baada ya kushindwa kuiteka Kyiv.

Hata kama watayateka hayo maeneo ila watalipia gharama kubwa.
 
Yanahalalisha kwa 100% sababu yanahatarisha usalama wataifa kubwa kabisa ulimwenguni la RUSSIA
Hao manazi yaliopo UKRAINE niyale yenye misimamo mikali kabisa yakufurutu ada ambayo yanatakiwa kuangamizwa kwagharama zozote zile nandio OP inaendelea vyema kama ilivyopangwa
PUT IN kiongozi makini sanaaa
Hujatoa sababu zozote za msingi bali umeshabikia tu bila facts!

Ushabiki mzuri ni ule wenye maudhui yenye facts!

Wanazi wote ni wenye misimamo mikali. Itikadi yao ni moja ya Unazi. Ndio maana wanaitwa, "neo-Nazis".

Hicho kisingizio cha "manazi" sio kisingizio makini kabisa kwa watu wenye ujuzi na uwezo wa kufanya tafiti. Ni kisingizio makini kwa watu wasiojishughulisha kudadisi haya mambo kwa kina.

Wanazi haohao wamekuwa wakishiriki mapigano nchini Ukraine wakiwa upande wa Urusi tangu 2014. Wengine wana hadi vyama vya siasa vyenye wabunge nchini Urusi. Wengine humuunga mkono Putin kama mgombea wao wa urais kwenye kila uchaguzi. Hao je, wanaangamizwa lini?

Ni sawa na kwenda kuua nyoka kwa jirani wakati na kwako kuna nyoka huyohuyo amekunja nne kwenye sofa. Kuna usemi unasema: "The pot calling the kettle black".
 
Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka.

Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa.
Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia ya nchi mbili hizi.

Wengi hawajasoma juu ya "cold war".

Kabla ya kuivamia Ukraine Urusi ilikua inajua Ukraine inafanya Nini,imeficha silaha wapi na askari wake wanafundishwa na nani(USA na baadhi ya NATO).

Kabla ya vita Urusi ilikua inajua nikiingia kuipiga Ukraine USA ama NATO wataingia kuisaidia Ukraine ama watampatia silaha.

Kabla ya op Urusi ilikua inajua USA au NATO watafanya Kila liwezekanalo kurefusha vita ili kumchosha Urusi na hatimae kumdhoofisha kijeshi na kiuchumi.

Kabla ya op Urusi alijua atawekewa vikwazo mbalimbali ili adhoofike kiuchumi.

Kwa Nini nayasema haya,

Nayasema haya kwa sababu Urusi iliwahi kuipiga Afghanistan,
Kilichotokea ni kama hiki
USSR ilijikuta inapigana na mataifa yote makubwa Duniani.
Kama kawaida hawakuingiza majishi lakini waliwasaidia Afghanistan kwa silaha na Intelijensia ya vita.
Nchi zilizoisaidia Afghanistan ni USA ,UK,German,China,saud Arabia, Pakistan, na NATO wengine pamoja na vikundi vya akina Osama bin laden.
Urusi ilikua inapigana na Mujahedeen waliokua jeshi la Serikali ya Afghanistan iliyoondolewa na Urusi.
Hawa walisaidiwa kwa silaha na fedha kuikabili Urusi.

Hivyo Urusi inajua tabia za USA na west pale inapoingia vitani na nchi nyingine.

CHECHEN na Putin
Wachechinia ni wakazi Urusi wanatokea katika Jimbo la Chechen.
Hawa jamaa Wana Mila na desturi za tofauti na Warusi wengine,ila sehumu kubwa kama sio 100% ni waislam.
Hawa wakati wa utawala wa Boris Yeltsin walikua na mawazo ya kujitenga,nadhani mawazo hayo yalipandikizwa na Adui namba moja wa Urusi,USA.Ushahidi upo.
Walipewa misaada ya fedha kwa Siri kutoka USA ili wajitenge.

Kweli bana.
Wakianzisha vita kutaka kujitenga na Urusi,Rais akiwa Boris Yeltsin.

Kama mnavyojua Boris alikua sio kiongozi makini sana,alikua mlevi mbwa na mpuuzi ingawa alikua ana akili sana.
Jeshi la Urusi lilipuuzwa sana,halikupewa kipaumbele,kulikua Kuna ufisadi,askari ahawana morale,mahitaji ya wanajeshi hayakutiliwa maanani,na hawakuheshimika kabisa ,hivyo wanajeshi hawakua na moyo kabisa kwa Kila jambo.
Basi bana vita kati ya waasi wa Chechen na wanajeshi wa Serikali ilipigwa vikali sana,matokeo yake askari wengi wa Serikali ya Urusi walikufa sana na maiti kuzagaa mitaani.

Vladimir Putin.

Boris Yeltsin aliteua na kutumbua mawaziri wakuu wa Urusi kama wanne hivi na wengine walihudumu kama kwa mwezi hivi.
Na hatimae akamteua VVP.

Vladimir Vladimilovic Putin alipoingia kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu akakuta jeshi la Urusi linasumbuliwa na waasi wa Chechnya.
Putin akapanga safu yake akaongea na wanajeshi wakaelewana.

Jeshi la Urusi likaenda mara nyingine kukabiliana na waasi wa Chechnya.
Aisee kipigo walichokipata hao wachechen Mungu ndio anajua.
Walipewa kipigo Cha paka mwizi na wakashindwa vibaya sana na majeshi ya Urusi.
Wakadhibitiwa vibaya sana na wakashindwa vita hiyo,na makamnda wao wengi wakakamatwa na kufungwa magerezani.

Sasa kilichotokea, ni wakaachana kabisa na vita dhidi ya Ujeshi imara la Urusi,wakaanzisha mapambano kwa njia za Ugaidi.
Wakaanza kulipua majengo,kuteka kumbi za starehe mfano ule ukumbi wa maigizo moscow,kuteka shule za vitoto vidogo kule Beslan,na kulipua njia za usafiri.

Kutoka kuwa makamanda wa jeshi Hadi kuwa Viongozi wa Ugaidi wa Chechen.

Baadae Putin akaja kuwa Rais

Hapa Putin akaanza msako mkali kwa Hawa Viongozi wa Ugaidi ndipo kiongozi wa Chechen wakati huo Aslan Mashkadov kiongozi Mkuu, na Bashir Yanayev kamanda Mkuu wa chechen walipokua wakisakwa vikali na putin na hatimae GRU na FSB Spetsnaz walipofanikiwa kuwaua kwa nyakati tofauti na kwa mahali tofauti.
Walikuwa wakiwasaka wapiganaji magaidi wote walikua chini ya hawa na kuwauwa na wengine kufungwa.Hatimae wakasalim amri baadae Putina akakaa na waliobaki akawapa mpango wake wa kuwa na uhuru kamili lakini chini ya Serikali kuu ya RF nao wakaupenda mpango huo na wakakubaliana, na Sasa Leo unawaona wanampenda na kumtii putin.
Urusi hakuna Ugaidi Tena na nchi Iko salama sababu ya Putin.
Hii OP ilimpa Putin umaarufu mkubwa na kupendwa sana Urusi.

Operation ya Sasa ya ukrine.

Urusi kama ilivyo USA Ina majasusi Dunia nzima.
Wanajua Kila kitu USA au NATO wanafanya juu ya Urusi.

Ukiacha majasusi watu Urusi Ina vyombo vya kuweza kuona chochote Cha kijeshi USA anachofanya Dunia nzima.

Urusi anajua uwezo na udhaifu wa USA.

Urusi peke yake imeweza kuwafukuza USA,UK na FR nchini Syria, na kuvunja mpango wao wa kutaka kumtoa Assad madarakani,
Urusi imeweza kuzuia mpango wa USA kutaka kumtoa Maduro madarakani.

USA inapoenda kuzivamia nchi dhaifu kama Iraq ama Afhanistan ama hata Libya huenda na kundi la nchi nyingine kuisaidia USA ,wakati hiyo n hi inayokwenda kupigwa (Iraq na Afhanistan)Huwa imewekewa vikwazo ama imepelelezwa kwa mgongo wa UN mfano Iraq.
Mifano IPO.

Kinyume chake Urusi ikipigana na nchi,nchi hiyo hupewa misaada ya silaha na Kila kitu itakachohitaji na safari hii tumeona pia Urusi imewekewa vikwazo vizito mno..

Pia ikumbukwe Ukraine ni nchi yenye Nguvu kijeshi mara Tano kuliko ilivyokua Iraq kabla ya kupigwa na USA .
Ukraine Ina viwanda vya silaha,mitambo,magari na Kila aina ya bidhaa.
Ukraine Ina jeshi zuri kabisa na zaidi kabla ya hii Op ilikua inafundishwa na USA ,UK,fr na wengieo,pia ikipewa Silaha.
Na hata Sasa hivi inafundishwa na hai na inapewa silaha.,lakini Cha ajabu Urusi inaipiga taratibu bila kujali misaada hiyo.
Je?
Urusi ni dhaifu?
Urusi ni maskini?
Urusi ilikua inakuzwa?
Urusi imekurupuka?
Kwangu mimi Urusi nchi yenye jeshi kubwa kabisa hapa duniani.
Kama alivyosema Biden "hatuwezi kupeleka jeshi letu kupigana na Urusi moja kwa moja,safari hii tuna Dili na moja ya jeshi kubwa kabisa hapa duniani,hatudili na magaidi"

Kama Rais wa USA kasema hivyo,Mimi ni nani Hadi nipinge?

Sore tunajua NATO walichokifanya kwa Yugoslavia,Yugoslavia waliwapiga wakosovo,Bosnia and Herzegovina,NATO walikwenda upande huo na kuwasaidia Kosovo ambae sio mwanachama wa NATO kwa kumpiga mabomu Yugoslavia na hatimae Yugoslavia kusambaratika Hadi kutokea mataifa ya Croatia,Serbia na Kosovo.
Sasa NATO wanashindwa Nini kisaidia Ukraine kwa kuweka hata no fly zone TU?
NATO waliwasaidia waasi wa Syria wakawaita waasi moderate,waasi walichukua miji yote kasoro ilibakibi miji miwili TU,mji Mkuu na Alepo tu.
Alipoingia Putin akarudisha miji yote na waasi kufutwa kabisa..

Vikwazo.
Kwa kawaida vikwazo huwa vinawekwa na UN ama nchi moja binafsi inaweza kuacha kushirikiana na nchi nyingine,lakini USA na EU
Wanazilazimisha nchi ambazo hazina ugomvi na Urusi ziiwekee vikwazo hii sio sawa.
Mbona wao wakati wa ubaguzi wa South Afrika,UN waafrika walipotaka.SA iwekewe vikwazo mbona wao waliendelea kufanya biashara na SA na hatukuwalazimisha?

USA ana kile anachokiita Allies wake lakini anataka kulazimisha Allies wa Urusi wamtenge mfano BRICS.
kulaani ama kuweka vikwazo ni hisia,kama Sina hisia za kulaani usinilazimishe kulaani,kama Nina maslahi usinilazimishe niweke vikwazo.

Matokeo ya vikwazo yamekua kinyume kabisa,wanasema vitaanza kufanya kazi miezi au miaka kadhaa baadae,je Urusi wakipata.ufumbuzi wa vikwazo hivyo nani atakua ameumia?
Umeongea pumba kutokea wap?
 
Hujatoa sababu zozote za msingi bali umeshabikia tu bila facts!

Ushabiki mzuri ni ule wenye maudhui yenye facts!

Wanazi wote ni wenye misimamo mikali. Itikadi yao ni moja ya Unazi. Ndio maana wanaitwa, "neo-Nazis".

Hicho kisingizio cha "manazi" sio kisingizio makini kabisa kwa watu wenye ujuzi na uwezo wa kufanya tafiti. Ni kisingizio makini kwa watu wasiojishughulisha kudadisi haya mambo kwa kina.

Wanazi haohao wamekuwa wakishiriki mapigano nchini Ukraine wakiwa upande wa Urusi tangu 2014. Wengine wana hadi vyama vya siasa vyenye wabunge nchini Urusi. Wengine humuunga mkono Putin kama mgombea wao wa urais kwenye kila uchaguzi. Hao je, wanaangamizwa lini?

Ni sawa na kwenda kuua nyoka kwa jirani wakati na kwako kuna nyoka huyohuyo amekunja nne kwenye sofa. Kuna usemi unasema: "The pot calling the kettle black".
Unataka fact iweje MKUU
 
Mbona wao wakati wa ubaguzi wa South Afrika,UN waafrika walipotaka.SA iwekewe vikwazo mbona wao waliendelea kufanya biashara na SA na hatukuwalazimisha?
USA yenyewe ni kutoa matamko ya kisiasa tu. yanaweza kuwa au yasiwe km walivo tamka!! kwani unadhani watatamka '' mataifa rafiki wa urusi enedleeni kumuungeni mkono urusi?. big no!.....vitani kuna ma expert wa siasa pia! ..unasikia?
Matokeo ya vikwazo yamekua kinyume kabisa,wanasema vitaanza kufanya kazi miezi au miaka kadhaa baadae
Hizo ni propaganda tu za kumtisha Urusi na wale wanao iamini Urusi na washirika wake ili waendelee kuiogopa na kuihusudu NATO!, Pia Dunia ijue kuwa NATO wana maguvu ya kuwekea Taifa Kubwa lenzao vikwazo nakuliyumbisha kuumbe mavi matupu !!

hakuna cha vikwazo wala dadake vikwazo, Urusi na china ni ma-Taifa kuubwa sana!. changanya na .na nchi zisizo fungamana na upande wowote ziko kwa upande wa Urusi!!.... Mataifa ya Africa njaa sehemu kubwa yako Upande wa Urusi!

Mataifa ya Africa yamechoka na unyonyaji na ubeberu wa kindumila kuwili na maksudi wa kimagharibi! usiokoma!! na wengi humu ni viongozi wapya wa misimamo ya kisasa!! wako tayari kubadili Mkoloni wao !
 
Back
Top Bottom