duuh nice words of the year ila ingekuw vyema km ndio ingekuwa ya kwanz kwa kuanzia mwaka ili tujipange until end of the year mnakaa na kuangalia mlipofanikiwa na mlipofeli na kwann mkafeli yaan ni vzur sana...BRAVO
Asante kwa semina ila mapenzi c kazi ni sanaa ilijaa ubunifu mkubwa zaidi ya hayo maelezo, halafu yanaendeshwa na taasisi ya mke na mme! Vile uonavyo ww c vile nionavyo mm! Ndo maana hata uongozi haufanani! Huyo anaongoza vyema huyu vibaya,
Hvyo kwa ndoa yako sawa ila aplication kwa ndoa yangu +0
Plz nmtazamo mkuu
asante na wew pia sikuku njema.... asante kwa ushauri mzuri be blessed