Nionavyo mimi.

duuh nice words of the year ila ingekuw vyema km ndio ingekuwa ya kwanz kwa kuanzia mwaka ili tujipange until end of the year mnakaa na kuangalia mlipofanikiwa na mlipofeli na kwann mkafeli yaan ni vzur sana...BRAVO

Mkuu bado ina nafasi ya kuanzia mwaka..maana Ipo mwishoni...tayari pa kuanzia panaonekana. Asante kwa support mkuu.
 
Kwa wale waliousoma mwanzo uzi huu..sio vibaya wakirudia tena. Kuna kitu nimeona vyema kukiongeza ili kilete picha zaidi kwa kile nilichokusudia kukileta.
 
M.E.M.A uliyoandika yote mema,shukran.
Heri ya mwaka mpya.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa semina ila mapenzi c kazi ni sanaa ilijaa ubunifu mkubwa zaidi ya hayo maelezo, halafu yanaendeshwa na taasisi ya mke na mme! Vile uonavyo ww c vile nionavyo mm! Ndo maana hata uongozi haufanani! Huyo anaongoza vyema huyu vibaya,

Hvyo kwa ndoa yako sawa ila aplication kwa ndoa yangu +0
Plz nmtazamo mkuu
 
Hebu tupe na support ya hoja yako.
 
haya yote yafanyike kwa lengo la kuoa ama kwa dem usie na malengo nae?
 
Dah somo la ukweli ni hongera sana aisee, ngoja nimuite miss chagga pita kipande hii kuna mambo mazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom