Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

-kuomba buku halafu unaona wekundu wekundu, unaanza au niazime tu buku10
-kusalimia muda mrefu pasipo kumaliza
-kusimulia ya "uraya" na "malekani" kama vile umeishi huko miaka zaidi ya 10 wakati hata pipa la kwenda Mwanza hulijui,
-kusema unakuja dk sifuri wakati utatokea baada ya 1hr
-kuagiza kinywaji halafu badaye unasema eti huna hela ya kulipa eti unaomba ulipiwe,
-
 
Dah!! Hili linaudhi mno!!! Yaani kuna baadhi ya Wabongo ndio hawajui kabisa mambo ya kuthamini muda. Mnaahidiana mkutane saa fulani basi anaweza kuchelewa hata saa nzima. Unamwambia mtu nitakupitia saa fulani uwe tayari basi unaweza kusubiri hata saa nzima bado anajisiliba tu ili apendeze dah!!!

kutokutii muda.
 
Tabia ya uchafu kwa watanzania,mtu anakula ndizi,miwa na matunda na kutupa kila mahali,mifuko ya plastick na chupa za maji,na wakiweka madustbin wanajifanya hawayaoni au kuyaiba kama walivyofanya arusha!
 
Hahahaha. Ati kujisiliba. Unatakiwa umotivate natural looks best.
Sasa mwanaume kumsubiria mwanamke is natural. Pata picha kuna mwanaume ndo inabidi asubiriwe yaani. Dunia kizunguzungu.
Dah!! Hili linaudhi mno!!! Yaani kuna baadhi ya Wabongo ndio hawajui kabisa mambo ya kuthamini muda. Mnaahidiana mkutane saa fulani basi anaweza kuchelewa hata saa nzima. Unamwambia mtu nitakupitia saa fulani uwe tayari basi unaweza kusubiri hata saa nzima bado anajisiliba tu ili apendeze dah!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tabia ya uchafu kwa watanzania,mtu anakula ndizi,miwa na matunda na kutupa kila mahali,mifuko ya plastick na chupa za maji,na wakiweka madustbin wanajifanya hawayaoni au kuyaiba kama walivyofanya arusha!

Hii inakera sana, angalie mfano wakitoka Livrpool Korogwe, Dar Express na hata pale El Jazira ya Iringa!
 
Wanawake wanaotoa maziwa yao hadharani na kunyonyesha watoto wao bila hata kujifunika na kanga!
 
Baadhi ya wanawake wanaokwenda Saloon na kutafuta ujiko kwa kumwaga hadharani mambo ya wapenzi wao, wakati wengine ni waume za watu!
 
Aaagh na wewe nae cha kuniharibia wakati wangu mwenzio!
I hate youuuuu!
Afu ukute limekula makange na limeshushia na misafari laga. Utajuuta na harufu ya ngano zilizochacha aaagh!
Mijitu inayocheua kwa sauti.

Unakuta jitu limekula kuku-makange halafu linashushia ama na bia au koka kola, migesi inajaa tumbo halafu lenyewe linacheua kwa sauti kama mbuzi....burrrrrrp

Wakati linacheua linakuwa linajichokonoa kwenye meno kuondoa vinyama vilivyonasa. Na mbaya zaidi huo mcheuo utoe harufu.

Ukiwa na kinyaa kama cha Nyani Ngabu unaweza ukapatwa na kichefuchefu kabisa.

Cc: The Boss
Bcc: King'asti
 
Tabia ya kuomba omba. Aisee inanikera hii na ni turnoff kwa kweli. Mtu anaomba salio, sijui lunch! Aaagh! Kitu pekee cha kuomba ni matibabu na kama una njaa omba ununuliwe maharagwe na unga ukapike nyumbani! Ningekuwa mwanaume mie sijui kama nisingekuwa virgin hadi leo manake mtu akiomba tu nampiga chini in the next 2 minutes!
 
Mizaha mizaha hata kwenye mambo ya msingi kisingizio eti maisha magumu kwa hiyo huhitaji kuitumikisha sana akili!Hii kwa kawaida huwa ni tabia ya watu wenye mtindio wa ubongo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
.... USAFIIII......USAFIIIIII....USAFIIIIIIII........ kabla ya yote....

.....then...then....

....kurudi tu home bibie kunishika shika uume ukiwa ndani ya suruali hata sijatulia home vizuri kuoga....
.... aibu kunipa kichuma mboga kila asubuhi.....
.... nanyonya & ninyonywe each mrng....

.... she has to do it daily..... hutanikera....
 
Jamani naomba tuorodheshe tabia zinazokera kwa watz:

1) Kumpigia mtu simu haipoelewi, na baadaye wala hasumbuki kupiga au kutuma sms
2) Kupigiwa simu za kila wakati na kukopwa
3) Kuombwa Vocha
4)Kukutana na mtu anayejifanya anakufahamu sana na baadaye kukupiga mzinga
5) Kulalamikia ugumu wa hali ya maisha kila siku na kutochukua hatua yoyote
6) Kushabikia siasa kama mazoea ya 1947
7)Kuzaa watoto wengi ukitegemea kwamba ndugu na jamaa watakusaidia kulea

Kukutana na mtu ambaye mmepotezana nay muda mrefu halafu anakuuliza, unafanya wapi kazi siku hizi?
 
Jamani naomba tuorodheshe tabia zinazokera kwa watz:

1) Kumpigia mtu simu haipoelewi, na baadaye wala hasumbuki kupiga au kutuma sms
2) Kupigiwa simu za kila wakati na kukopwa
3) Kuombwa Vocha
4)Kukutana na mtu anayejifanya anakufahamu sana na baadaye kukupiga mzinga
5) Kulalamikia ugumu wa hali ya maisha kila siku na kutochukua hatua yoyote
6) Kushabikia siasa kama mazoea ya 1947
7)Kuzaa watoto wengi ukitegemea kwamba ndugu na jamaa watakusaidia kulea

8. Wanaume wanao beep.
9. Wanawake wasagaji wanao weka status za kumtaja Mungu kwenye wall pages zao facebook.
10. Unampigia simu mwanamke ambaye unajua kabisa ni msagaji, halafu unapokelewa na tune ya wimbo wa gospel.
 
Our wrong assumptions that everythng from abroad is super.... hata kama ni madudu>

Kwa kweli ni haibu, hata ukiwasikiliza watangazaji feki wa Clouds. Yaani mtu kiingereza kinapanda kidogo lakini atajitahidi kuongea upuuzi kwa lafudhi kuubwa ili tu afikishe point yake kwa wenziwe wanna bees.
 
Hebu jisome kwa sauti utuambie uliandika nini?

Back
Top Bottom