Niombe Talaka?

Niombe Talaka?

Aisee nimefuatilia post zako nafurahi kuwa kuna strong and independent minded women...

Na type hii huwezi pata mume mnyanyasaji...watajichuja wenyewe kabla ya kukusogelea...

so the extra marrital affairs are due to feminism??? have the occurences of extramarital affairs actually increased or have people (especially women) just gotten the power to not put up with it anymore??

watu wanaona sifa kusema "ndoa ya miaka 50". doesnt matter huyo mwanamke alikuwa anachezea kipigo miaka 50. doesnt matter mumewe alikuwa **** nje miaka 50. all it matters ni ndoa imekaa miaka 50.

Mwenyewe mama yangu anaenda miaka 35 ya ndoa. maisha yangu yote nimeshuhudia mama akipigwa na kugombezwa na baba. amd shes a very polite woman by nature. ni kwamba hata simuonei huruma tena whether anapigwa au lah kwasababu nishamwambia hastahili yote hayo. excuse ya kuwa yuko pale kwaajili ya watoto is invalid.

miaka yoote kuinamisha kichwa tuu...kunyamaza tuu....kuwa mpole tuu...hudumia mwanaume tuu...mwanaume asiye na shukrani....halafu mbele za watu utafkiri sio wenyewe. NILIKUWA NAKEREKA.

sasa dawa yao ni kusubiri wazeeke, tuwatengahishe.

BULLSHIT. Me nasema, na zivunjwe tu, manake hakuna namna nyingine.
 
Pole sana muombe Mungu, ndoa haikimbiwi kirahisi hivyo, uvumilivu unahitajika sana, kuwa mpole lea watoto wewe ndiye pekee mwenye upendo wa dhati juu ya hao watoto.
 
alipigwa kofi na kuambiwa uhusiano umeisha. sasa sijui unataka wazungumzie nini.

kwanza hilo janaume liombe msamaha kwa kumpiga huyu mama.

sikunyingine cloudear ukipigwa uanzishe zengwe hapo majirani wasikie/watokee ili iwe rahisi kutoa taarifa polisi.

HAKUNA KUVUMILIA UPIGAJI WANAWAKE.

msome mleta mada vizuri

kuna mahali anasema yeye ndio ana makosa story kama haijakamilika
 
msome mleta mada vizuri

kuna mahali anasema yeye ndio ana makosa story kama haijakamilika

Wanaume unawaju vizuri? Nina rafiki yangu anaomba yeye msamaha hata akute sms za kimada kwenye simu....mumewe yuko right always...si ndio tunaita sijui kujishusha...
Utamsikia NK mimi najishusha tu kuepusha shari....lakini leo hii ana BP
 
Naona wasio na ndoa wanashauri mwenzao aachike..
kila kitu kinazungumzika, hayo ni mapito katika maisha ya ndoa, hata kuwa single kuna changamoto nyingi tu...
simamia nyumba yako, sio kila kosa ni la kupeleka kwa ndugu ili msuluhishwe, nyumba ni yako na mumeo...
 
sote tu waajiriwa serikalini, akipata salary anakuwa kimya nikimwomc mahitaj atazunguka hata wiki nzima, amekuwa kama msaidiz pind ninapoishiwa, ahudumii kama baba, nishampelekaga had ustawi habadiriki

Nisionekane nataka kuvunja ndoa ila yeye majukumu yake hapo nyumbani ni nn kwa sasa?
kwa sababu yawezekana ukawa umejitishwa zito kwa mategemeo ya kufika afu usifike
 
cloudea

nadhani kuna kingine zaidi ya ukorofi unaouzungumzia, kwa hali ya kawaida ni vigumu kukubaliana na wewe kua ulipigwa sababu ya kuuliza swala la mtoto kulia. aidha naomba ijitafakari chanzo cha chuki juu ya huyo mtoto,

chanzo cha mawasiliano yenu kuwa mabaya, lugha ambazo ulishawahi kuzitumia, unazozitumia na hujawahi kuzifuta. kupewa talaka si shida ila shida bado ni kwamba bado hujatatua tatizo
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri uondoke haraka. Kwanza kwa mfumo wa Kitanzania, wanawake wanaogopa sana kuachika jambo ambalo linasababisha vifo vingi kwa wanawake. Hata Mungu mwenyewe hakusema tuvumiliane kwa kupigwa jamani. Kuna kundi la watu jaman huwa wanashauri tuvumiliane Mungu kasema, nani alisema tukiwa kwenye ndoa tupigane? ni jambo la kujiuliza sana na kutafakari hivi nikivumilia halafu siku moja niuwawe nani ataaumia?

Nawaeleza ukweli atayeumia ni watoto na ndugu zako tu dada mpendwa, yeye(mumeo) ataumia kwa uongo tu kuonyesha audience kuwa alikuwa anakupenda jambo ambalo ni kinyume. Ujue wakati anajifanya kuumia mwenzako aliyesababisha upigwe na kuaga dunia atakuwa pembeni akimbembeleza, iwe kwa uwazi au kwa siri, nikimaanisha anaweza awepo physically au awe anampigia simu na mimeseji kibao za kumbembeleza.

Kinachonifurahisha kwako, Mungu akujalia kazi na uwezo wa kulea wanao, nakuomba uchukue hatua mapema kwani ukiondoka watu watasema umeachika ila hutakuwa wa kwanza ndugu yangu. Kusemwa utasemwa ila wewe ndio unajua ukweli wa mambo na ujue kabisa watasema tu ila wakichoka watanyamaza. Pia hakuna atayekusema kwa kuandikwa bandiko kwenye mwili wako.

NAKUELEZA UKWELI MUNGU HUWA HAMTUPI MJA WAKE: Uhakikishe kuwa wewe sio chanzo cha ugomvi wa ndoa yako na nakuhakikishia maisha yako yataendelea vizuri kuliko ulivyotegemea. Mungu hakutuumba kwa ajili ya kuteseka ni sisi tu tunaangaamia kwa kukosa maarifa. Mungu alituumba kwa mfano wake kwa ajili ya kumtukuza tukiwa hapa duniani.
Barikiwa.
 
alipigwa kofi na kuambiwa uhusiano umeisha. sasa sijui unataka wazungumzie nini.

kwanza hilo janaume liombe msamaha kwa kumpiga huyu mama.

sikunyingine cloudear ukipigwa uanzishe zengwe hapo majirani wasikie/watokee ili iwe rahisi kutoa taarifa polisi.

HAKUNA KUVUMILIA UPIGAJI WANAWAKE.

Say NO to slavery
 
Last edited by a moderator:
N
so the extra marrital affairs are due to feminism??? have the occurences of extramarital affairs actually increased or have people (especially women) just gotten the power to not put up with it anymore??

watu wanaona sifa kusema "ndoa ya miaka 50". doesnt matter huyo mwanamke alikuwa anachezea kipigo miaka 50. doesnt matter mumewe alikuwa **** nje miaka 50. all it matters ni ndoa imekaa miaka 50.

Mwenyewe mama yangu anaenda miaka 35 ya ndoa. maisha yangu yote nimeshuhudia mama akipigwa na kugombezwa na baba. amd shes a very polite woman by nature. ni kwamba hata simuonei huruma tena whether anapigwa au lah kwasababu nishamwambia hastahili yote hayo. excuse ya kuwa yuko pale kwaajili ya watoto is invalid.

miaka yoote kuinamisha kichwa tuu...kunyamaza tuu....kuwa mpole tuu...hudumia mwanaume tuu...mwanaume asiye na shukrani....halafu mbele za watu utafkiri sio wenyewe. NILIKUWA NAKEREKA.

sasa dawa yao ni kusubiri wazeeke, tuwatengahishe.

BULLSHIT. Me nasema, na zivunjwe tu, manake hakuna namna nyingine.

This is the same issue it had gone wrong from the very initial stage. Unfortunately your mom is too polite and had been polite from the first day. May be because of cultural (fear of being blamed on her parents) norms and may be her parents were always pushing her back to her husband. For example I remember a case where I have seen a guy cry after having a one night stand because of fear that if his wife finds out ; the wife had threatened to cut the strategic tool in his sleep teh teh teh. I heard story of my granny canning her husband bcz it is the third time he came late home. I heard story of my granny's brother being chased out of the house by his wife suspecting of having mchepuko in their neighbourhood.

You know culturally for example in any Indian house hold the leader of the house is the father (or a grandpa) then head of the house activities and operation and treasurer is the mother or grand ma. And when this woman say yes it yes and no it is no. But for example myself and wife is there then mom will give the honour to her as her assistant in all the issues of house operation and she will be protected even against my will. So this example shows how many dimension the marriage and house hold norms vary by society and cultural aspects. For example I don't know if true that Congolese women complains if their husbands do not beat them eti it means they don't love them. Omg!
Personally subject to well being of a child I will be the first to wake up and check and in sickness I become so worried especially if my wife opposes me not to take the child to hospital saying " ahhh it is just a small fever it will go away". I tend even to question her labour pains!!
 
Mmmh!!!!! haya mambo makubwa kwangu, mimi under 18, naogopa hata kuyasoma.

By Apologise lady
Uliona wapi mwanaume anaandika, richie ndio jina langu, sindio hawa wa yo! yo!. utoto utoto. Kwanza yeye mwanafunzi hata kitanda hana anakuja kutafuta mwanamke si viroja hivi?
PM Kwangu utamkuta mme wangu, we jipeleke huko

Apologise lady ujue unanichanganya!! Kule una mume, huku under 18,

Ngoja nije pm tuyamalize kiutu uzima
 
Kuna baba angu kule, anaenilipia ada, kama unataka mvua 30 nenda.
 
Tatizo kubwa nilionalo hapo ni unyumba. Kama hakupi ni tatizo kubwa sana na unaweza kudai talaka.

Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.

Fanyia kazi hilo kwanza kama mwanamke.

kumbe shida yenu ni hyo kitu tu basi!!!
 
Pole sana bibie lakini mara nyingi makosa yanakuwa upande wako.
Mfano huwezi kusema kuwa wakati mnachumbiana hukujua tabia yake ya ubinafsi.
Nafikiri ulijua lakini ukajiaminisha kuwa utaweza kumbadili-'wrong'!
Huwezi mbadili mtu mzima, atabadilika mwenyewe akitaka.
Kuhusu kuondoka - yeye anataka uondoke nawe unataka kumrahisishia, 'why'? Sana sana ataleta mwanamke mwingine na wewe utakuwa historia.
Nini cha kufanya:
  • Hakikisha unakuwa na idadi ya watoto unaoweza kuwamudu kimahitaji n.k. kwani umeshaona dalili fulani.
  • Anza kujijenga kiuchumi sasa kwani ukiwa na uchumi imara utaheshimika.
  • Anza kufanyia kazi 'worst case scenario' kama ukiachwa utaendelea vipi.
  • Pengine kuna 'mchepuko' unamsumbua, hivyo yanaweza yasiwe matatizo ya muda mrefu.
  • Labda anaendeshwa na Wazazi wake(mwanaume) na hii hutokea sana, hivyo punguza kwenda kushtaki kwa wazazi kwani wao wanaweza kuwa chanzo.
  • Usipende kuachika kirahisi kwani utapoteza mengi.
 
Vumilia Tu we ni kiwanda cha kupokea maumivu
 
Sasa unasubiri nini ilhali wewe ndiye tegemezi hapo home? Unasubiri upate presha uwatese watoto? ama unasubiri akupige mpaka ufe utese watoto? Endelea na maisha yako for the sake of your kids pls...
 
Back
Top Bottom