Niombe Talaka?

Niombe Talaka?

Wee bi dada kuwa kiakili acha kulalamika lalamika tuu
nilishawaaambia nyie mwali wadogo mnashida sana, huwaga mnataka kuwa rula kwa waume zenu mkasahau nao ni binadamu wana akili na uwezo wao wa kufikiri..................

toka siku ya kanza ulipokuwa unatakana ulishajua kwamba hapa naenda kuish na mtu ambaye si mama wala baba wla si kaka yangu huyu ni mume na kuna changamoto za kuish nae sasa unapoanza kulalamika nakushangaa.

ivi kwan wewe hukutarajia mumeo awe jeuri? ama awe mbinafsi? kwanz ubinafsi ni sifa ya kiume, ukitaka uliza mtu yyte. Umewah kuona mtoto akilia mwanaume akasema lete nimbebe zaid ya kukwambia mpe nyonyo?

afu sijui na wewe umekulia wapi eti unakwenda kushtak ukwen ili iweje? unategema ndugu zake wakutetee wewe badala ya kaka/mtt wao?

ndoa ni kujipanga kiakili zaid na si kimapenzi zaid.
wewe ulizidiwa na nguvu ya kupenda ukasahaua kwamba mumeo anawez akukosea na ukashindw akuvumilia. haudumii familia yake ana hudumia ndguze si wew umwendekeza ukitaka kumwonyesha kwamba anaweza kutunza familia??

ulishakosea approach toka siku ya kwanza................

ushauri wangu kwako ni huu
1. punguza mdomo wa kusema sema na kubishana na mwanaume, manake siku zote ubishan huleta hasira na ndo mwanzo wa kuchezea mbata

2. jifunze kutumia silaha ya kike kwa mumeo, usimfanye kuwa adui yako wala simba ndani mfanye kuwa rafiki ivi mara ya mwisho kumwambia nakupenda mume wangu ni lini?

3. usione msaada anaotoa mumeo kwa ndguze ni makosa, ila ona kama ni jambo la maana ila sasa mtrain kucontribute kwenye maswala ya ndani

4. Sali na omba Mungu zaid kama mwislam nenda kwa mashehe wakusomee dua utoe na sadaka, ili ndoa yako iwe na aman. kama mkristo pia nenda kwa kanisan sali na toa sadaka

5. acha hasira zisizokuwa na sabb kisa mumeo haamki kukusaidia mtt unaona kakosea, wengine tulienda kujifungua weneywe hosp, unapak gari nje unaingia leba na kusukuma, mtu kalala home anakoroma na ukirudi unamwambia laaziz zawadi ya baby boy hiyooo. tena kwa busu zitoo as if ndo alokuja kukuchukua hosp kumbe umekodisha dereva akuendeshe kurudi home

6. acha mawazo potofu na kuona kwamba wewe ndio rula ya kumbadili mumeo, kwan wewe Mungu? let him live his own life kwan lazima kila unachotaka akufanyie afanye.

7. jifunze kua kuna me time na us time. sasa ikiwa ni me time let him enjoy it to the fullest, sio unaanza kumbughudhi

8. jogoo halei eeeh bibie, wee uliona wapi jogoo kalea, ulishawah kuskia weye? ama ng'ombe dume hunyonyesha? sas akama hapana basi na wewe jua malezi ni jukumu lako as mama akifanya kakusaidia tu

9. acha kufananisha maisha yako na ya wenzio, ikiwa kuna mashost wanakusimulia maisha yao wewe usijikompee na yako ishi maisha yako halis

10. taka kuona kila siku unafurahia ndoa yako kuliko mtu baki kukufanya uifurahie, play your part effectively manake ukifanya ivyo basi wewe utakuwa na 50% na yeye akifanya kwa uvivu kabisa akikupa 20% basi tayari ni -B so uko pazuri iyo 30% sio kitu.

11. acha utoto wa kushtak na kuianika ndoa yako kwenye vikao vya ukoo ndiko unakochota haya manuksi namamikosi. adui zako wanapenyezea apo apo na wanafurah sana ukipigika manake wnajihesabia ushindi.

12. ndoa sio gereza bibie, iyo ni taasisi inayounganishwa na upendo kama ukiona humpendi basi achia ngazi bila kutangaza nia.

samahan kama nitakuudhi kwa maneno yangu. na hzi bia za j2 hizi God forbid
 
Tatizo kubwa nilionalo hapo ni unyumba. Kama hakupi ni tatizo kubwa sana na unaweza kudai talaka.

Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.

Fanyia kazi hilo kwanza kama mwanamke.
......I didn't know if sometimes you can give a person good advice.
 
......I didn't know if sometimes you can give a person good advice.

Unanisoma kwa kuogopa tu. Jaribu kunisoma taratibu utaelewa kuwa uwepo wangu wote hapa JF ni kutoa darsa.

Tatizo ni pale nnapojisahau na kuwapa darsa la juu wale ambao kiwango chao ni kiduchu.

Pale ambapo unaona hujanielewa jaribu kuniuliza ni nini hujakielewa na mimi ntakupa darsa kwa kiwango chako.
 
Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.
.

ivi kwan wewe hukutarajia mumeo awe jeuri? ama awe mbinafsi? kwanz ubinafsi ni sifa ya kiume, ukitaka uliza mtu yyte. Umewah kuona mtoto akilia mwanaume akasema lete nimbebe zaid ya kukwambia mpe nyonyo?

5. acha hasira zisizokuwa na sabb kisa mumeo haamki kukusaidia mtt unaona kakosea, wengine tulienda kujifungua weneywe hosp, unapak gari nje unaingia leba na kusukuma, mtu kalala home anakoroma na ukirudi unamwambia laaziz zawadi ya baby boy hiyooo. tena kwa busu zitoo as if ndo alokuja kukuchukua hosp kumbe umekodisha dereva akuendeshe kurudi home

8. jogoo halei eeeh bibie, wee uliona wapi jogoo kalea, ulishawah kuskia weye? ama ng'ombe dume hunyonyesha? sas akama hapana basi na wewe jua malezi ni jukumu lako as mama akifanya kakusaidia tu

Kweli watu wakizoea shida ni shida.

wengine wanaona poa kupigwa makofi kisa wanapewa unyumba. embu we cloudear siku mpige mmeo kofi ukishamkatikia vya kutosha uone raha atakayosikia.

wengine walitelekezwa wakati wa kujifungua. wametelekezwa kutunza watoto. eti sifa za kiume.

embu cloudear tembelea http://m.livescience.com/14651-animal-kingdom-devoted-dads.html uone wanyama wa kiume wanaoona ni wajibu wao kutunza vitoto vyao.
 
Kumbuka kiapo ulichoapa mbele ya padri au mchungaji kuwa kifo kitakutenganisha, kikubwa Hapo ni kuwa mvumilivu na kumwacha aendeleee na mambo yake uwe na moyo mkuu kama ayubu
 
kweli watu wakizoea shida ni shida.

wengine wanaona poa kupigwa makofi kisa wanapewa unyumba. embu we cloudear siku mpige mmeo kofi ukishamkatikia vya kutosha uone raha atakayosikia.

wengine walitelekezwa wakati wa kujifungua. wametelekezwa kutunza watoto. eti sifa za kiume.

embu cloudear tembelea The Animal Kingdom's Most Devoted Dads | Papa Penguins, Pregnant Seahorses & Frog Fathers uone wanyama wa kiume wanaoona ni wajibu wao kutunza vitoto vyao.

Kamsome vizuri mleta mada labda utaelewa kuwa hizo zote ni sababu na hayo yote unayoyasema wewe kishasamehe, ukweli upo kwenye sentesi mbili hapo, moja ni hii "sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano," na nyingine ni hii "je nikae tu kama housekeeper?"

Hapo kwa watu wazima tunaelewa ni nini kinachomsibu huyo kijana.
 
Duh!ulichezea kelbu!hayo makofi khabari yake nzito
Kimsingi ndoa si lelemama wanamume wengi tupo hivyo ni wachache ambao wana humble ila kuanza kupalakashana makofi tena mwenzetu kazidi.
 
Tatizo kubwa nilionalo hapo ni unyumba. Kama hakupi ni tatizo kubwa sana na unaweza kudai talaka.

Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.

Fanyia kazi hilo kwanza kama mwanamke.

Baada ya kusoma tuu nikajua inshu itakuwa ni hiyo tuu....

Usiombe talaka kaeni muongee na kwa uwezo wa muumba mtayamaliza na kuyasahau (Kuweni watu wazima)
 
kweli watu wakizoea shida ni shida.

wengine wanaona poa kupigwa makofi kisa wanapewa unyumba. embu we cloudear siku mpige mmeo kofi ukishamkatikia vya kutosha uone raha atakayosikia.

wengine walitelekezwa wakati wa kujifungua. wametelekezwa kutunza watoto. eti sifa za kiume.

embu cloudear tembelea The Animal Kingdom's Most Devoted Dads | Papa Penguins, Pregnant Seahorses & Frog Fathers uone wanyama wa kiume wanaoona ni wajibu wao kutunza vitoto vyao.
swala sio kuzoea shida na huo ndo ulimbuken wa walio wengi hasa mabinti wa kileo ndo mana kila siku vilio.

Kuna mambo ambayo mtu hayapaswi hata kukuumiza akili, huwez kumbadili mtu ambaye ulisha mchukkulia poa toka siku ya kwanza unategema nini? wewe ni Mungu uwez kumbadili.

cha msingi dance according to the beats..........
ukijifunza kupuuzia vitu vya kijinga kama hivi inakuwa ni njia nzuri sana ya kumfanya mtu ajitafakari. sasa wewe leta za kibabarita uone kama huchezei makofi kama kawaida.

kudeal na mwanaume ni jambo dogo sana wala halihitaj kuumiza akili ikiwa utamjua.............ndo mana waswahili husema mbwa ukimjua jina hakusumbui.

sasa apa ushamjua mtu wako unaaza kususa eti kisa hajafanya kitu fulan, wakati ukijitizama wewe mwenye sio malaika.

appraoch ya maisha ya movie inawaumiza na kuwatesa zaid...................
kuna aina fulan ya maisha ukiishi inamfanya mumeo mwenyewe abadilike, haihitaj nguvu ya maneno ya kelele, kushtak ukwen, vikao visivyo na sabab na maghubu yasiyo lazima ili kumbadili mumeo awe kama utakavyo.
 
sote tu waajiriwa serikalini, akipata salary anakuwa kimya nikimwomc mahitaj atazunguka hata wiki nzima, amekuwa kama msaidiz pind ninapoishiwa, ahudumii kama baba, nishampelekaga had ustawi habadiriki

Pole sana bt kama hanunui kitu nyumban huyo sasa anahitaji maombi sana!jaribu kufunga na kuomba ila asipobadilika just go coz this life we are living is too short utateseka sana mwisho ufe kwa depression
 
Kamsome vizuri mleta mada labda utaelewa kuwa hizo zote ni sababu na hayo yote unayoyasema wewe kishasamehe, ukweli upo kwenye sentesi mbili hapo, moja ni hii "sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano," na nyingine ni hii "je nikae tu kama housekeeper?"

Hapo kwa watu wazima tunaelewa ni nini kinachomsibu huyo kijana.
faiza foxy mwali wadogo wa kileo maisha ya movie yamewazingu zaid.
hawajui wanataka nini ndo mana.............imagine sasa binti kama huyu ana watt wawili tena wadogo inamana ndoa ni ya miaka kama 5 tu tayari kesha shtak ukweni na vikao vya kutosha. sasa apo mtu unajiuliza hayo mawasiliano yaliyokosekana ndani ataenda kushtak tena?

hivi usiri wa ndoa hii sas unatoka wapi? ndo mana watu wazima wamemshauri ayamalize kwa kufanyia kazi mapungufu yake.
mwanaume mi mt8u rahis sana kudeal naye iwapo tu utakuwa na subira, ila kama huna subira utajianika uchi nje kila siku na karaha za ndoan
 
Last edited by a moderator:
Kamsome vizuri mleta mada labda utaelewa kuwa hizo zote ni sababu na hayo yote unayoyasema wewe kishasamehe, ukweli upo kwenye sentesi mbili hapo, moja ni hii "sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano," na nyingine ni hii "je nikae tu kama housekeeper?"

Hapo kwa watu wazima tunaelewa ni nini kinachomsibu huyo kijana.

me nilikuwa tu naongelea mambo ya kupigwa. there is no excusw ya kumpiga mtu mzima mwenzako.

about the intimacy i agree.
 
sote tu waajiriwa serikalini, akipata salary anakuwa kimya nikimwomc mahitaj atazunguka hata wiki nzima, amekuwa kama msaidiz pind ninapoishiwa, ahudumii kama baba, nishampelekaga had ustawi habadiriki

dah mbona hayo siyawezi
 
swala sio kuzoea shida na huo ndo ulimbuken wa walio wengi hasa mabinti wa kileo ndo mana kila siku vilio.
kuna mambo ambayo mtu hayapaswi hata kukuumiza akili, huwez kumbadili mtu ambaye ulisha mchukkulia poa toka siku ya kwanza unategema nini? wewe ni Mungu uwez kumbadili.
cha msingi dance according to the beats..........
ukijifunza kupuuzia vitu vya kijinga kama hivi inakuwa ni njia nzuri sana ya kumfanya mtu ajitafakari. sasa wewe leta za kibabarita uone kama huchezei makofi kama kawaida.

kudeal na mwanaume ni jambo dogo sana wala halihitaj kuumiza akili ikiwa utamjua.............ndo mana waswahili husema mbwa ukimjua jina hakusumbui.

sasa apa ushamjua mtu wako unaaza kususa eti kisa hajafanya kitu fulan, wakati ukijitizama wewe mwenye sio malaika.

appraoch ya maisha ya movie inawaumiza na kuwatesa zaid...................
kuna aina fulan ya maisha ukiishi inamfanya mumeo mwenyewe abadilike, haihitaj nguvu ya maneno ya kelele, kushtak ukwen, vikao visivyo na sabab na maghubu yasiyo lazima ili kumbadili mumeo awe kama utakavyo.

6. acha mawazo potofu na kuona kwamba wewe ndio rula ya kumbadili mumeo, kwan wewe Mungu? let him live his own life kwan lazima kila unachotaka akufanyie afanye.

Kumbe unaweza kumbadilishe mwanaume!!

nakubali kuwa ukimshamzoesha huyo mwanaume lifestyle fulani usitegemee atabadilika. kwahiyo kama unasema ni kosa lake mleta mada kuwa hasaidiwi na mwanaune wake sawa.

LAKINI ni kosa si la kimaadili tu hata kisheria mwanaume kutohudumia watoto.

lakini maneno ya kuwa ni nature ya mwanaume kuwa mbinafsi na kutomjali mwanamke wake na kumfananisha na majogoo yatapingwa.

mandhari imebadilika. iite kibarbarita lakini ukubali mambo yamebadilika. na kuhusu wanaume kulea watoto, yamebadilika for the best.
 
kweli watu wakizoea shida ni shida.

Wengine wanaona poa kupigwa makofi kisa wanapewa unyumba. embu we cloudear siku mpige mmeo kofi ukishamkatikia vya kutosha uone raha atakayosikia.wengine walitelekezwa wakati wa kujifungua. wametelekezwa kutunza watoto. eti sifa za kiume.

embu cloudear tembelea http://m.livescience.com/14651-animal-kingdom-devoted-dads.html uone wanyama wa kiume wanaoona ni wajibu wao kutunza vitoto vyao.

There is some lessons to learn given by gfsonwin and FaizaFoxy. I also support you housegirl that no man has the right to batter his wife. That is abuse of high level!

And to you cloudear, pick up the positive advises that serves your interest if you want to sustain your marriage and if you still love him and mind the interest of your kids too. Cool down and if he comes back to you try to cool him down and if he picks the hard way and start the yelling and shouting just pick up your 500ml bottle of water and sip slowly don't say a word, whenever this happens or continue just go on sipping the water and watch his response and behaviour change.

Gfsonwin has been hard on you but take it from an elder sister she knows from experience and means well for you and we all wish all things comes well to you.Let it be this is the last time he beats you. Btw please don't take the baby in your bed keep a cot for the baby separate from your bed.

Sometimes there are bad beings that we don't see and can reach our beds because of our sins and an angel (baby) can see and they get scared and yet we don't realize that is the reason the baby cries.
 
Hakuna ndoa hapo uombe talaka ili iweje? Kama una mahali pa kwenda na unahudumia watoto wako kwa 90% ya gharama ya nini kuendelea kuishi katika mateso kiasi hicho?

Sepa haraka sana mkorofi asiyemuonea huruma hata mwanae anayelia kwa masaa mawili mwache na ukorofi wake labda atatia akili kichwani na kuelewa alichokifanya hakikuwa sawa, kila la heri na maamuzi yako.

Ukiweza rudisha mrejesho.
 
There is some lessons to learn given by @gfsowin and faiza Foxy. I also support you housegirl that no man has the right to batter his wife. That is abuse of high level!

And to you cloudear, pick up the positive advises that serves your interest if you want to sustain your marriage and if you still love him and mind the interest of your kids too. Cool down and if he comes back to you try to cool him down and if he picks the hard way and start the yelling and shouting just

pick up your 500ml bottle of water and sip slowly don't say a word, whenever this happens or continue just go on sipping the water and watch his response and behaviour change.
Gfsowin has been hard on you but take it from an elder sister she knows from experience and means well for you and we all wish all things comes well to you.
Let it be this is the last time he beats you.

i agree with the method used to deal with stubborn people. mara nyingi ni bora kunyamaza tu.

lakini hujaongelea swala la yeye kuhuhudumia watoto pekeyake ambalo ndo tatizo kubwa
 
Back
Top Bottom