Niombe Talaka?

Niombe Talaka?

Kakuoa Kwa ndoa ya din gan?!kwani hauwezi kujiendesha mwenyewe kimaisha?unasubiria ninii wakati majibu unayo Kwa matamshi yakee?unasubria mpk àje akuue ndio ushtuke..!?unakoelekea wee nii kifo knakusubiri.
 
Dunia hii haishi mambo...hao watoto ni wake kweli jamaa?
Ndoa hapo ishakumbwa na natural death...wewe sepa tu.
 
Mmh huo ukorofi, ubishi na ubinafsi ameanza kwenye ndoa tu? Hukujua kama yupo hivyo au ndo ulijidanganya kuwa atabadilika kwenye ndoa? Kama mtu mbinafsi hadi kwa watoto wake, sipati picha hata kama ashawahi kukununulia soda. Tuache hayo coz yashatokea

Naamini Kila ndoa ina mapungufu yake, mikwaruzano ni inevitable. Ila sielewagi pale mtu mnapokwaruzana afu mumeo anakwambia " ukishindwa Ondoka". Hivi katamka hilo kwa bahati mbaya au ndo anachokiwaza Kila siku? Ukiondoka ndo mmesolve nini? Afu anakwambia mahusiano yenu yameisha Ila mlee tu watoto, watoto wepi tena? Ndo hao ambao hata kuwatolea matumizi hataki? Mlee ili watoto wawe wanaiona tu sura ya baba au?

Me Najua wanawake wengi wanakomaa tu kwenye ndoa za mateso kwa ajili ya watoto. Sasa kama baba mwenyewe hana muda na wanawe, what are u doing there? Me naona wewe endelea tu kukaa hapo kwanza. Usiwe na time naye hata as long as you can take care of your kids. Akiweza sawa, akishindwa aondoke yeye mwenyewe. Ubinafsi tu
 
Inaonekana huku shake well b4 use, illa pole xana, mi nakushauri angalia mustakabali wa maisha ya wanao pindi mtakapo achana,

Kumbe ku"shake well before use" ni pamoja na kuzaa naye ili kujua kama atatunza na kujali mtoto au la?? Please tell me you are joking!!!
 
N

This is the same issue it had gone wrong from the very initial stage. Unfortunately your mom is too polite and had been polite from the first day. May be because of cultural (fear of being blamed on her parents) norms and may be her parents were always pushing her back to her husband. For example I remember a case where I have seen a guy cry after having a one night stand because of fear that if his wife finds out ; the wife had threatened to cut the strategic tool in his sleep teh teh teh. I heard story of my granny canning her husband bcz it is the third time he came late home. I heard story of my granny's brother being chased out of the house by his wife suspecting of having mchepuko in their neighbourhood.

You know culturally for example in any Indian house hold the leader of the house is the father (or a grandpa) then head of the house activities and operation and treasurer is the mother or grand ma. And when this woman say yes it yes and no it is no. But for example myself and wife is there then mom will give the honour to her as her assistant in all the issues of house operation and she will be protected even against my will. So this example shows how many dimension the marriage and house hold norms vary by society and cultural aspects. For example I don't know if true that Congolese women complains if their husbands do not beat them eti it means they don't love them. Omg!
Personally subject to well being of a child I will be the first to wake up and check and in sickness I become so worried especially if my wife opposes me not to take the child to hospital saying " ahhh it is just a small fever it will go away". I tend even to question her labour pains!!

three things.

one, congrats for acknowledging your responsibilities as a dad.

two, you effortlessly remind us thats its the womans fault that the mans is conditioned to a certain system thats is woman-suppresive. i suggest you put more effort in providing decision making ideas.

third, ARE YOU AND INDIAN? Nitakuwa nakumention humu kila siku wakati naponda wabongo.

Oh and by the way mbona umeenda mbali, wakurya wasipopigwa wanalia hawapendwi.
 
Wanaume unawaju vizuri? Nina rafiki yangu anaomba yeye msamaha hata akute sms za kimada kwenye simu....mumewe yuko right always...si ndio tunaita sijui kujishusha...
Utamsikia NK mimi najishusha tu kuepusha shari....lakini leo hii ana BP

THIS!!!

poleni wanaoishi namna hii...na ni weeeengi!!!!
 
Aisee nimefuatilia post zako nafurahi kuwa kuna strong and independent minded women...

Na type hii huwezi pata mume mnyanyasaji...watajichuja wenyewe kabla ya kukusogelea...

exactly.

halafu watu wanaokuzunguka wanaAffect sana mtazamo wako. ukikaa na wanawake wanaoona sifa kudundwa (yes wapo Dar hii hii) unaweza ukajiona una mapumgufu. I thank nature I'm surrounded by gentlemen.
 
Ww sina cha kukwambia, ila natoa funzo kwa wadada wengine ambao hawajaoelewa msikimbilie ndoa unless umemjua mtu vizuri sana mtakuja olewa na washenzi
 
Kila siku wanasemwa wanawake wasioolewa humu na kupachikwa majina yote, alafu wanaume wenyewe ndio hawa!!! Teh teh teh teh(soryyyyy for being out of topic)
 
maombi ndio kila kitu.... Mungu kamwe hashindwi jambo... omba pia funga.. ongea naye kila ukiona yupo fresh.
 
Ndoa yenu ina mambo mengiiiiiiiii!
dah!
kifupi mna mengi ya kudeal nayo zaidi ya hii uliyoileta hapa
-wakwe
-kipato
-malezi
-mawasiliano
-majukumu
-ukatili
-ubinafsi
just to.mention a few!
 
cloudear

maisha ya ndoa ni msalaba hasa ukipata mtu asiyetambua maana ya kuishi pamoja km.mme na mke.usiharakie kuomba talaka maana wwtu na hivo huwa mashuhuri sana kukupakazia kuwa ww ndo umevunja ndoa hasa likitokea tatizo.elekeza nguvu zako kumuomba muumba na kulea watoto maana utengano wa wazazi huharibu akili za watoto.vuta subira ukiona unatafuta amani na yy anatafuta shari ww kaa kimya usirumbane nae ila tafuta njia itayofanya uache kumfikilia yy.
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri ukae mwaya.
acha kabisa kumuwaza mwanaume, utaumia bure.
fanya shughuli zako vizuri tu na bila hasira.
mmeo atajirudi mwenyew.
wanaume ndo walivyo mama. hata ukisema uombe talaka utakuja pata mbaya zaidi ya huyo.
my dear jikubali and move on with your life.
Make your self happy, life is too short!
 
mhh hii taasisi ya NDOA inamambo..walioko ndani wanataka kutoka..walio nje wanatamaani kuingia..?!
 
Chunguza Muundo au umbo la ndoa yenu. Je iliundwa na UPENDO , KUFUNGA NDOA na TENDO LA NDOA? au ilianza Tendo la ndoa, ukafuatia Upendo ndo mkaamua kufunga ndoa? Au ilikuwa Kufunga ndoa na Tendo la ndoa? Au ilikuwa ni tendo la ndoa tu ndo liliwavuta mkafunga ndoa??

Tafakari zaidi juu ya hayo.. Ndoa imara huundwa na Upendo kwanza, kisha mnafunga Ndoa na Kufanya tendo la ndoa. Ni lazima ubadilishe muundo wa ndoa yenu ijengwe na UPENDO kwanza.
 
alipigwa kofi na kuambiwa uhusiano umeisha. sasa sijui unataka wazungumzie nini.

kwanza hilo janaume liombe msamaha kwa kumpiga huyu mama.

sikunyingine cloudear ukipigwa uanzishe zengwe hapo majirani wasikie/watokee ili iwe rahisi kutoa taarifa polisi.

HAKUNA KUVUMILIA UPIGAJI WANAWAKE.

Ndorooobo wewe! Una mume wewe au unapepeta mdomo just to tujue upo ndoa ni BIG SECRET utambue hilo na pia ujue hapo ni one side unaanza judgemental zako! Kibao kimoja ndicho kimfanye aache ndoa yake! Ebu komaa mama ndoa inahitaji uvumilivu sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom