Nioe, nisome au nipige kazi?

kijembeee

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
409
105
ata cjui nianze na kipi nimalize na kipi,maushauriz wajameni...........
 
Ukikua utajua nini cha kuanza, sasa hivi naona ungo wa kiume unakusumbua, tumia sabuni
 
Kwani ukioa huwezi kufanya kazi au kusoma?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukioa bila kazi hutaweza mtunza mkeo, itakua ngumu kufanya kazi bila kusoma so nakushauri usome, upate kazi then uoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…