Ninunue simu ipi

Ninunue simu ipi

Mpaka maamuzi ya kununua cmu unakuja kuomba ushauri jf!!? Ulishafeli maisha wewe
 
Nahitaji simu yenye kuanzia 16 gb na yenye camera nzuri yani high quality ya ukweli. Iwe laini mbili lakini sio tecno.

Naombeni mnishauri aina gani ndo itanifaa kutokana na specs zangu hapo. Pia budget yangu iko kawaida(i cant afford iphone wala samsung s5 kuendelea)

Nilitaka kuchukua huaweii y6 pro ila kuna mtu akanambia eti 16gb unaeza ona ni nyingi lakini kati ya hizo either 4gb au 8gb inakua occupied na system ya simu halafu wanakuachia hizo gb chache zilizobaki for your own use.

Samsung nao naona kila wakitoa simu mpya basi camera ya simu za nyuma inapoteza ubora.
Umesha tumia simu gani mpya ya samsung iliyopoteza ubora. Au ulipigwa clone
 
Aisee we nenda kanunue Tecno
Coz carcare zao zinapatakina kwa wingi
Mi sina hofu na simu yangu coz ikitokea Emergency labda ikapasuka kioo
Basi naenda kwao wanaweka kioo kipya bureeeee kabisa
Lakini under dat condition isiwe imefungulia na mafundi wengine
Am curious of ur phone!!..ni cm gan iyo??
 
Mpaka maamuzi ya kununua cmu unakuja kuomba ushauri jf!!? Ulishafeli maisha wewe


Unanyodo kumbe we mwenyewe KILAZAAAA kiboya yaan
Screenshot_2016-12-12-19-40-43.png
Screenshot_2016-12-12-19-42-24.png
TUU [HASHTAG]#Hahah[/HASHTAG]
 
s5 ni waterproof, sema simu used achana na hii mambo utaingiza kwenye maji halafu ife hapo hapo, waterproof inataka warranty.

4g na lte ni kitu kimoja mkuu, 4g ni generation ya nne ya mtandao wa simu na LTE ni technology ambayo ime meet standard ya 4g.

kwenye 3g kulikuwa na WCDMA, HSPA, EVDO, HSPA+ etc

na 4g ina LTE na LTE advanced na wengine

2G ina gprs, cdma, edge etc
Chief..vip..naomba maelezo kuhusiana HUAWEI MATE8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom