Ninunue simu ipi

Ninunue simu ipi

s ni 2010
s2 ni 2011
s3 ni 2012
s4 ni 2013
s5 ni 2014
s6 ni 2015
s7 ni 2016
s8 itakuwa 2017

note 1 yenyewe ilianza 2011
note 2 ni 2012
note 3 ni 2013
note 4 ni 2014
note 5 ni 2015
note 6 ilirukwa
note 7 iliokuwa discontinued ni 2016

hakuna njia maalum ya kuzijua, just google simu husika halafu angalia result ya gsmarena wanaandika simu imetoka lini
Asante Mkuu.
Nilielewa kwamba S5 inaweza kuwa inatoka hadi sasa. Hivo S5 ya mwaka 2014 ikawa tofauti na 2016.
Barikiwa sana Chief.
 
hapana s5 zote ni za 2014, ukiiona leo ujue ni ya 2014, inaweza kuwa used au imekaa sana dukani
 
Samahani boss mimi nimetokea kuzipenda Simu aina ya LG haswa LG G2 samahani unaweza nielezea kidogo kuhusu mapungufu yake Chief..???
haina memory card, battery yake haitoki na pia ni simu ya kizamani kidogo, ukitoa mambo hayo ni simu nzuri nzana specs zake ni almost kama s5 na ukiipata chini ya laki 3 hakuna simu yoyote inayoweza kushindana nayo kwenye specs kwa bei hio
 
a7bd8134f715665dcd896878e2a47606.jpg
 
haina memory card, battery yake haitoki na pia ni simu ya kizamani kidogo, ukitoa mambo hayo ni simu nzuri nzana specs zake ni almost kama s5 na ukiipata chini ya laki 3 hakuna simu yoyote inayoweza kushindana nayo kwenye specs kwa bei hio
Asante

vipi LG hawajatoa simu zenye removable battery (mAh 2500 kwenda juu), kuweka memory card, RAM 16GB, ROM 2GB, ???...... Kama ipo inaitwaje na bei yake kias gani? ??...
 
zipo kibao mkuu, almost low end zote zinatoka battery ipo hii

LG X5 - Full phone specifications

na hata flagship zao za sasa battery zinatoka kama vile lg g5.

ila zote hizi haziishindi lg g2 kwa value.
 
Ipo S5 ya 2015 inaitwa S5 Neo
mkuu neo ni kama unasema mini,

neo za samsung ndio kimeo kabisaa, kwani specs zake zinakuwa ovyo.

mfano hio s5 neo cpu yake ni cortex a53 ambayo sio flagship level na gpu yake ni kimeo kabisa yaani mali T720mp2 compare na adreno 330 ya s5 yenyewe.

camera zote zimeandikwa 16mp lakini ya s5 original inachukua 4k, aperture ya s5 ni f1.9 wakati ya s5 neo ni f2.2 (ndogo) etc

hivyo hizo neo ni marketing gimmick tu hazina hadhi ya kuitwa hayo majina.
 
Safii ngoja niitafute LG G2 hata kama ina battery isiyotoka na haitumii external memory ila nimesikia Android yake inaweza kujiongeza pia kutoka 4:4:2 hadi 6;0 sijui ni kweli.??
 
ina internal 32gb kwa matumizi ya kawaida inatosha.

nafkiri official mwisho ni lolipop,
 
Me nina swali lingine,nikitaka kujua simu used imetumika mda gani nafanyaje,kuna app ya kuangalia au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom