Ninunue simu ipi

Ninunue simu ipi

300K unapata second hand s5,

kuhusu storage simu zote za 16gb free space inarange 8gb hadi 12gb

kuhusu camera si kweli kwamba zinapoteza quality unatakiwa uangalie na series ya hio simu. mfano j series ya 2016 camera yake haiwezi shinda Note au S series ya 2014 japo ni ya 2016
Samahani Chief
Na simu ya 4GB ,8GB zinarange kiasi gani free space?
 
S na Note zikiwa mpya(za mwaka huu) bei zake huzidi milioni 1,

J series ndio unapata kwa bei hio na budget yako ni vyema ukomae upate J5 kama alivyosema mdau hapo juu. na bei elekezi ni hio 350,000

nenda maeneo ya aggrey zipo nyingi sana, na hakikisha ukitaka kununua unatuma imei yake kwenda 15685 ili kuhakiki kama ina warranty ya Tanzania

ila j5 ina 8gb tu
Chief-Mkwawa Nawezaje kujua tofauti ya Mwaka. Mf: Series ya s5??
 
Chief-Mkwawa Nawezaje kujua tofauti ya Mwaka. Mf: Series ya s5??
s ni 2010
s2 ni 2011
s3 ni 2012
s4 ni 2013
s5 ni 2014
s6 ni 2015
s7 ni 2016
s8 itakuwa 2017

note 1 yenyewe ilianza 2011
note 2 ni 2012
note 3 ni 2013
note 4 ni 2014
note 5 ni 2015
note 6 ilirukwa
note 7 iliokuwa discontinued ni 2016

hakuna njia maalum ya kuzijua, just google simu husika halafu angalia result ya gsmarena wanaandika simu imetoka lini
 
Ni nzuri eeh??? Ngoja niigoogle
Izo infinix note 3 zinapatikana wapi mkuu na bei yake inakwendaje
Aisee we nenda kanunue Tecno
Coz carcare zao zinapatakina kwa wingi
Mi sina hofu na simu yangu coz ikitokea Emergency labda ikapasuka kioo
Basi naenda kwao wanaweka kioo kipya bureeeee kabisa
Lakini under dat condition isiwe imefungulia na mafundi wengine
 
Nahitaji simu yenye kuanzia 16 gb na yenye camera nzuri yani high quality ya ukweli. Iwe laini mbili lakini sio tecno.

Naombeni mnishauri aina gani ndo itanifaa kutokana na specs zangu hapo. Pia budget yangu iko kawaida(i cant afford iphone wala samsung s5 kuendelea)

Nilitaka kuchukua huaweii y6 pro ila kuna mtu akanambia eti 16gb unaeza ona ni nyingi lakini kati ya hizo either 4gb au 8gb inakua occupied na system ya simu halafu wanakuachia hizo gb chache zilizobaki for your own use.

Samsung nao naona kila wakitoa simu mpya basi camera ya simu za nyuma inapoteza ubora.

Kwa hela uliyonayo kanunue mpya kbs dukani tigo wanazo samsungu galaxy grand prime plus latest na itakusaidia!inasifa zote ambazo am sure zitakufaaa
72810fd07ff263ea68c29ccc5b4c6665.jpg
56a4a483a57250427e48780fd3adb501.jpg
2368a43ecdb205fd866f35cca19e8a08.jpg
 
jina jengine j2 prime, soc mediatek, hii ni dhaifu kwa j5 na hata kioo chake sio HD
 
S na Note zikiwa mpya(za mwaka huu) bei zake huzidi milioni 1,

J series ndio unapata kwa bei hio na budget yako ni vyema ukomae upate J5 kama alivyosema mdau hapo juu. na bei elekezi ni hio 350,000

nenda maeneo ya aggrey zipo nyingi sana, na hakikisha ukitaka kununua unatuma imei yake kwenda 15685 ili kuhakiki kama ina warranty ya Tanzania

ila j5 ina 8gb tu
Asante chief kwa mara nyingine,nitajitahidi nipate j5.

Hivi s4 na note 4 ni bei gani?
 
Chief am sorry nakuuliza tena,kwa hiyo budget yangu ni samsung series ipi ambayo itanifaa kwa camera ikiwa mpya.

I mean kati ya j series,note series,s series etc ni series ipi ambayo camera ni best.
Wewe hapo kwa max bajet yako ya 300k unapata Jseries ambayo

Eidha J2 ....mpya duka au J1 ace au J1 -2016, hizi J1 mbilia zitakua around 200k to 230k
 
Yaan simu ya 300k camera izidi ya S na note
Nimesema note na s series kwa ujumla sio lazima ziwe za mwaka huu kwani si kuna s3,s4 na kuendelea. Pia si kuna note 1,note 2, note 3 na kuendelea au.
 
S na Note zikiwa mpya(za mwaka huu) bei zake huzidi milioni 1,

J series ndio unapata kwa bei hio na budget yako ni vyema ukomae upate J5 kama alivyosema mdau hapo juu. na bei elekezi ni hio 350,000

nenda maeneo ya aggrey zipo nyingi sana, na hakikisha ukitaka kununua unatuma imei yake kwenda 15685 ili kuhakiki kama ina warranty ya Tanzania

ila j5 ina 8gb tu
Samahani boss mimi nimetokea kuzipenda Simu aina ya LG haswa LG G2 samahani unaweza nielezea kidogo kuhusu mapungufu yake Chief..???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom