Let me plead my case against ZANTEL as a ZANTEL USER MYSELF
PROS:-
kwa sasa Zantel wako faster (but until when) sababu bado hawana wateja wangi kama hao providers wengine am sure watu wengi in the future wakijoin Zantel speed itapungua
CONS:-
- Sababu huwezi kuiflash zantel kutumia voda au celtel hii inaamanisha siku zantel wakiboronga you are stack
- Zantel kupata the best package inabidi huwe Highlife ambapo unapewa 2gb per week tatizo ni kwamba hizi zikiisha huwezi kurenew kabla wiki haijaisha... so whats the point of having all this speed ambapo kama utamaliza hii package huwezi renew
- kuna sehemu Zantel haipatikani vizuri
- Kama Zantel ikiwa na matatizo mfano kuna siku ilikuwa down kwa 24 hours then your are in for it.....
- Zantel anytime wanaweza wakabadilisha package kuna wakati walisema kupata highlife internet 10,000/= per week mpaka utumie 5,000/= a week kwenye simu... hii iliniuzi sana nikawapigia customer care na kuja juu sana (na kuwaambia wakiendelea hivi wataloose customers sababu for 15,000/= you can get a better package with zain 3gb)... palikuwa hapatoshi... wakasema kwamba hii issue wataifanyia kazi, na wataongea na maboss wao.... ila mpaka sasa am only using 10,000/= a week sijui kama walibadilisha huu mpango wao au wamenisahau
CONCLUSION SABABU YA UWEZEKANO WAKUFLASH ZAIN/VODA HII INAFANYA ANY OF THE PREVIOUS IWE BETTER THAN ZANTEL