Panda mwendokasi, jenga nyumba, kama ni gari ya biashara na kweli kipato chako kitaobgezeka na kiwanja unacho basi hapa NUNUA GARI!Habar VIP wakuu....najua ktk maisha ya vijana hua kuna mitazamo tofauti ya mfumo Wa maisha mtu atakavyo kuishi ...
Sina nyumba naish nimepanga hapa dar,lakini Nina kiwanja mbez..
Mpango wangu ninunue gar..MUNGU akisaidia mbeleni nitajenga tuu....sasa hili suala LA kutangulia kununua gar kabla ya kujenga,,baadh ya watu wameanza kuona et napotea njia,,wananiona sasa nimeanza kuchanganyikiwa....
Ushauli wenu wana JF......ninunue gar? Au nitangulie kujenga nyumba.
NB: endapo nitanunua gar ..kipato changu kitaongezeka Mara 2 ya nilichokua napata kwa mwez..
Nashukuru kwa ushaur mkuuNunua gari,,ndio nyenzo ya kazi vile vile,nyumba kwan sasa hiv unalala nje?? Halaf umenikera eti watu wanakuona utapotea kwan unaishi ili watu wakuone unachofanya? Au unaishi kwa kanuni zao,,au watakuchangia mafuta au bati ukijenga,,hela zako mwnyewe nunua gar utembee kwa kukaa hapa mjini,,nyumba utajenga tu maana anaenunua gar n mwepes kujenga kuliko anaejenga anunue gar..
Kitu nikionacho hapa ni umeleta uzi ila tayari uneshafanya maamuzi na tayari umeshachagua comments za kupenda na za kutokupenda, fata maamuzi yako mkuu!Mkuu umetisha .....nimechukua ushaur
Nimepokea ushaur wako"Ukiwa na gari utakuwa na kipato mara mbili zaidi ya kipato ulicho nacho kwa sasa" that's means kwamba gari unayotaka kuinunua siyo ya kuuzia sura kama wengi wetu ambavyo tumekuwa tukifanya, hata hao wanaokwambia unapotea hawaelewi mipango yako ndo maana wanasema unapotea. Wewe fanya kama ulivyo panga kufanya usirudishwe nyuma wala kukatishwa tamaa na ngonjera za watu wewe songa mbele fanya kile unachokiamini na si unacho ambiwa na watu, kwa sababu mustakabari wa maisha yako uko mikononi mwako na si kwa mtu mwingine.