Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Wakuu katika kuchambua mawazo mbalimbali mliyonipa, nimeona ninunue (bado) simu kati ya hizi mbili kupitia JUMIA:
1. Nokia lumia 630
2. Microsoft lumia 435, naomba ushauri zaidi kati ya hizi mbili nichukue ipi kwa watu wenye uzoefu na hizi simu. Nimejaribu kuangalia kwa haraka kidogo tofauti ya hizi simu.
630 ram 512, while 435 ram 1gb.
630 5mp, while 435 ni 2mp.
630 ni ya laini 1, whle 435 ni ya laini 2. Kutokana na tofaut hizi na nyngne mnazozifahamu, naomba ushauri nichukue ipi kati ya hizi mbili? Pia kuhusu products za hawa jumia online maana ndo nataka nifanye nao biashara. Nashkuru sana.