Ninunue HP au dell

Akiongea Mkwawa Mjadala UMEFUNGWA
 
Nadhani kullikuwa na tatizo kwenye kugawa partition . Cha kufanya ingia youtube search jinsi ya kucreate partion, kisha chukua hizo Gb za sasa toa za zamani. Kisha jibu unalopata tengeneza partition nyingine.
 
Mkuu umefafanua vizuri sana. Sharout sana!
 
Hardware technical support ya nini? Computet huwa inafanyiwa replacement ikiharibika. No need to consider technical support ya hardware.
Mimi nashauri manufacturer creteria isitumike kati ya dell na HP kwa sababu wote ni branded. Angalia spesifications unazozitaka ulinganishe na bei full stop. Anza na
1. processor family.
2. Ram
3. Graphic card kama utatumia kwenye multimedia tasks
4. HDD
5. Angalia features zingine ndogo ndogo, kila moja inaongeza thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…