Iko fresh. Ni nzuri kuliko window 7. Usiogope vitu vipya. Ukiizoea utamfuata jamaa kumuomba msamaha
Wakuu ahsanteni kwa ushauri wenu
Niliamua kuchukua Dell
Ram yake 4.00 GB
Operating system ni 64 bit
Ila kuna jamaa kaniwekea window10 mi nilikuwa nataka window 7
Kaniboa kweli nimemchana
Vipi wakuu mliowahi kutumia window 10 mnijuze mi nimezoea window 7
Iko fresh. Ni nzuri kuliko window 7. Usiogope vitu vipya. Ukiizoea utamfuata jamaa kumuomba msamaha
-ram 2GB ni shilingi 15,000 hadi 20,000
-hard disk 1TB ni shilingi 100,000 hadi 130,000
hivyo kama laptop ina 4GB ram na HDD 500GB unaweza ukaiongeza ikawa na 6GB ram na 1TB kwa kiasi hapo juu.
unachomoa tu vya zamani na kueka vipya.
Mimi nina 350k aina gani ya PC itanifaa wakuu ..
kwa ram risk ni ndogo sana ram nyingi ni imara. kwa HDD kama utapata ambayo sio nzuri inaweza kusumbua.Asante mkuu,we kweli umeiva
Ila hakuna risk kubadilisha?
kwa ram risk ni ndogo sana ram nyingi ni imara. kwa HDD kama utapata ambayo sio nzuri inaweza kusumbua.
na uzuri wa ram ni kwamba ina slot mbili, hivyo ukisikia mashine ina ram 4GB ujue ni ram moja ya 4GB na kuna slot nyengine inakuwa empty kama utataka kuongeza.

Hongera sana ndg kwa hii taarifaAsante mkuu,we kweli umeiva
Ila hakuna risk kubadilisha?
Mkuu hiyo hard disk ya 1TB nitaweza kuipata kwako mkuu....-ram 2GB ni shilingi 15,000 hadi 20,000
-hard disk 1TB ni shilingi 100,000 hadi 130,000
hivyo kama laptop ina 4GB ram na HDD 500GB unaweza ukaiongeza ikawa na 6GB ram na 1TB kwa kiasi hapo juu.
unachomoa tu vya zamani na kueka vipya.
Nunua Apple.Wakuu naombeni msaada
Weekend hii nataka ninunue PC
Nina laki tano mfukoni
Je kwa laki tano bidhaa gani bora nitapata kati ya HP au dell
Msaada wenu Tafadhali
Dell ni common na user support inapatikana kwa urahisi.Wakuu naombeni msaada
Weekend hii nataka ninunue PC
Nina laki tano mfukoni
Je kwa laki tano bidhaa gani bora nitapata kati ya HP au dell
Msaada wenu Tafadhali
sina duka mimi,Mkuu hiyo hard disk ya 1TB nitaweza kuipata kwako mkuu....
ndio unaweza, case ni around 10,000 hadi 15,000Hongera sana ndg kwa hii taarifa
Hivi naweza kuiweka hii HD nitakayoitoa ikawa kama external HD na ikawa kwenye case yake?