Mzee bei gani vile umenunua!!!!!Mkuu naomba tafsiri ya Maelezo haya kwani kuna laptop nimeinunua juzi na bado ipo ndani ya warranty nikaambiwa kama sijaridhika nayo naweza kuirudisha. Sasa uliposema masuala ya DXDIAG nami nikafanya ila kitaalamu maana ya information hizi sijui. Maelezo ni kama ifuatavyo. Kitakachomiss utasema niongeze au kufanya marekebisho na mwisho naomba ushauri kama yafaa au laah! Nimenunua kwa ajili ya kuandika project mbali mbali za kiofisi!
1. Computer name: laptop
2. Operating system: window 7 professional 32-bit (6.1 build 7600)
3. Language: English
4. System manufacturer: Toshiba
5. Bios: ver 1.00PARTTBLO
6. System model: satellite
7. Processor: genuine Intel (R) CPU T 2250@1.73ghz(2cpus)~1.7ghz
8. Memory: 4096mb
9. Page file: 744used; 5378mb available
10. Direction version:direct X 11
Name: mobile Intel(R) 945 express chipset family
11. Manufacturer: Intel corporation
Note: ltk window system ilikuwa 8 nikaomba installation ifanywe ya window 7!!!
Hayo no Maelezo ya ukurasa Wa kwanza baada ya kugonga DXDIAG
cc: wataalam wa ict wote karibuni!!!
235kMzee bei gani vile umenunua!!!!!
Ndo bei yake. Ila ni performance yake ni ndogo pia235k
Huwa sihitaji zinazodumu milele kwakuwa nahitaji teknolojia mpua. Ukiwa na mashone nzee ujie hutatumia programs za kisasa na with time inakuwa imechoka hata kama ni nzima na mwendo kasi unaisha.vitu vingi ndani ya laptop vinadumu miaka 10 na zaidi.
-cpu miaka 20 hadi 30
-ram nayo 20+
-HDD miaka kama 4 na kuendelea
-same kwenye motherboard zinakaa miaka na miaka
nenda maduka used zile laptop baadhi ni za miaka 10 na kuendelea, mfano angalia core 2 duo
-cpu ya mwisho ya core 2 imetoka 2010.
-cpu ya mwanzo imetoka 2006
hivyo unapoona laptop ya core 2 duo au quad inamaana ina miaka 7 hadi 11, hivi ni vitu vya kawaida kwenye computer kudumu hivyo.
kitu cha kuogopa kwenye laptop ni power supply aka adapter, ikizingua tu hio au ukitumia ambayo ni mbaya na umeme wetu huu wa bongo ujue una risk ya kuunguza vilivyomo ndani,
pia usipofuata maelekezo mengine vizuri kama vile kuziba feni hewa isiingie vizuri, kuacha iingie maji au hali ya hewa pia inaweza sababisha isidumu muda mrefu.
Ndiyo maana situmii mashine zaidi ya miaka 5. Inakuwa outdated na perfomance hupungua.vitu vingi ndani ya laptop vinadumu miaka 10 na zaidi.
-cpu miaka 20 hadi 30
-ram nayo 20+
-HDD miaka kama 4 na kuendelea
-same kwenye motherboard zinakaa miaka na miaka
nenda maduka used zile laptop baadhi ni za miaka 10 na kuendelea, mfano angalia core 2 duo
-cpu ya mwisho ya core 2 imetoka 2010.
-cpu ya mwanzo imetoka 2006
hivyo unapoona laptop ya core 2 duo au quad inamaana ina miaka 7 hadi 11, hivi ni vitu vya kawaida kwenye computer kudumu hivyo.
kitu cha kuogopa kwenye laptop ni power supply aka adapter, ikizingua tu hio au ukitumia ambayo ni mbaya na umeme wetu huu wa bongo ujue una risk ya kuunguza vilivyomo ndani,
pia usipofuata maelekezo mengine vizuri kama vile kuziba feni hewa isiingie vizuri, kuacha iingie maji au hali ya hewa pia inaweza sababisha isidumu muda mrefu.
Ni kweli kabisa. Tukiwa tunamalozia Masters Degree tuliamua kujaribu uwezo wa mashine za brands tofauti zenye specs zinazofanana. Tuka run complex model. HP alimaliza kwa masaa 6. Toshiba masaa 6 dk 38 Dell masaa 6 na dk2. Brands zingine kama Lenovo na Sony tulizizima baada ya masaa 7 na nusu. Hazikumaliza.PC ni matunzo na jinsi unavyoitumia.
Kwangu mimi nje ya HP ntanunua Macbook Pro tu.
HP naziaminia sana na hazijawahi niangusha hata siku moja.
mkuu lenovo ndio manufacture mkubwa wa pc sasa hivi na series zake za Thinkpad ndio best kwa watu wanaofanya mambo serious. mambo yenu ya kisayansi mengi yanahitaji bandwidth ya kutosha inawezekana mashine zina cpu inayofanana lakini ukawa limited kwenye memory zipo situation mbalimbali kama vileHuwa sihitaji zinazodumu milele kwakuwa nahitaji teknolojia mpua. Ukiwa na mashone nzee ujie hutatumia programs za kisasa na with time inakuwa imechoka hata kama ni nzima na mwendo kasi unaisha.
Mie huwa naangalia yenye LATEST SPECS na Endurance kubwa. Maana tunao RUN SCIENTIFIC MODELS na kutumia SCIENTIFIC SOFTWARES tunahitaji mashine YA KISASA NA YENYE NGUVU.
Kuhusu brands HP, SONY, DELL, na TOSHOBA wako vizuri. Sijawahi kutumia huyu LENOVO na kwa kweli kama unataka kuitumia mashine kwa kazi ngumu usinunue tofauti na TOSHIBA. DELL na HP. Huyo LENOVO anazidiwa uwezo na baadhi ya simu za mkononi. Nikimaanisha mfano ukichukia flagship ya lenovo yenye i7 na kulinganisha na flagship ya Samsung Galaxy utaona maajabu. Kwa wanoweza kuifanya simu kuwa kompyuta wamenielewa.
Wanaotaka vinavyodumu pasipo kuangalia ENDURANCE namba moja ni TOSHIBA akifuatiwa na DELL kisha HP.
ni kweli kuhusu hao mafundi wengi wajanja wajanja tu, kama unanunua laptop ambayo sio ultrabook ni rahisi hata kuitengeneza mwenyewe nyumbani kurekebisha matatizo madogo madogo.Ndiyo maana situmii mashine zaidi ya miaka 5. Inakuwa outdated na perfomance hupungua.
Niwashauri wanaopenda kupeleka kwa fundi. Mafundi wengi wa kibongo ni waharibifu na wezi. Labda upate fundi mnayefahamiana. Mara tatu mafundi wameniharibia mashine zangu. Wa mwisho alilipa maana aliiba vifaa nikamkamata navyo kulikuwa na alama. Nikampeleka kwa pilato akaninunulia mpya niliyoitaka.
kuna laptop zina wireless na nyengine hazina. na zenye wireless zinahitaji drivers ili kuweza kufanya kazi.Habari wakuu....
laptop yangu ni hp probook 440g3 inashindwa ku- detect wireless naombeni msaada wa kitaalam. CHIEF MKWAWA na wataalam wengine wa haya makitu.
Same to me aisee,now mashine yangu ipo tu kama urembomkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...
Hp sijui kama nitakuja kununua tena..Same to me aisee,now mashine yangu ipo tu kama urembo
Mm nmenunua HP probook mpk kesho ipo n bado mpya n kwa speed duma akasomeNunue dell mkuu HP kimeo cha maana. Au nunua Toshiba mkuu hutajutia Matumizi ya fedha yako. Nilinunua Toshiba nikiwa chuo 2011 hadi leo ipo poa sana haina tatizo lolote.
mkuu kwenye computer hasa laptop i3, i5 na i7 zote zinafanana tu kasoro mambo machache,Chief-Mkwawa habari kaka, naomba nikuulize kuhusu kucheki graphics za laptop mara nyingi nikichei hizi core i3 au core i5 ninakuta ni 520 je ni sawa au nakosea jinsi ya kucheki coz huwa naenda kwenye DIAGDX,then DISPLAY au kuna njia nyingine
Ahsante sana Mkuu ngoja sikukuu zikipita nikachukuemkuu kwenye computer hasa laptop i3, i5 na i7 zote zinafanana tu kasoro mambo machache,
hivyo i3,i5 na i7 zinakuwa na gpu moja tegemea na generation.
kwako ni intel HD 520 inamaana hio ni 6th generation skylake.
ni gpu nzuri mkuu