Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
- Thread starter
-
- #21
cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.
kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.
huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.
Kuna jamaa yngu anauza dell Core i3 mpya..with warranty
550.
Cha msingi search kwenye laptop unayotaka kununua angalia specificationa bila kujali ni dell au hp ama lenovo, Njia rahisi ni kuminya ile button ya start / window then search hili neno DXDIAG Anza kucheki ipi iko poa, Ukiona umechanganyikiwa wewe orodhesha specs ziweke humu tukudadavulue...Cha msingi nakushauri ucheki processor na ussishie tu kucheki kwamba ni core i3, i5 au i7...andika na model kabisa mfani core i5 6500u, core i5 7200u, .n.k
Mwambie kabsa asije hapa na short model names/numbers. Tunataka maelf hapa ili tuone ni gen gan na herufi asisahau kuweka kwa mbere ya maelf ili tuone perfomance yake
Mi niko na HP mwaka wa nne inaCHAPA kazi.mkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...
Nunue dell mkuu HP kimeo cha maana. Au nunua Toshiba mkuu hutajutia Matumizi ya fedha yako. Nilinunua Toshiba nikiwa chuo 2011 hadi leo ipo poa sana haina tatizo lolote.
Nakumbuka mwaka 2012 nlinunua lenovo na kuztupilia mbali dell na hp, Hii bi kwa sababu nlikuta lenovo yenye specification nzuri sana kupita dell na hp zilizokua dikani, Ile mashine mpaka leo inadunda na nimempa dogo, ile pc inakaa chaji kinoma maana prosesa yake inatumia umeme mdogo sana
Kwa sasa nmenunua Hp kwa sababu duka nililoenda hio hp ilikuwa na na specifications za juu kuliko brand nyingine.
kigezo angalia speciifications tu, Ukicheki jina utalizwa tu
vitu vingi ndani ya laptop vinadumu miaka 10 na zaidi.Mkuuu vitu haviwezi fanana durability.
aaah yangu ilikuwa kimeo balaaMi niko na HP mwaka wa nne inaCHAPA kazi.
Inachonikeraga ni kuunguruma ikipata moto sana hahaha.
Otherwise iko poa
mtengenezaji mkubwa wa processor za computer ni INTEL. Karibu aslimia sabini ya processor zinatengenezwa na Intel. Hawa kina Dell , HP and others wao wanatengeneza vikorokoro vilivyobakia...cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.
kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.
huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.
Computer yangu ya kwanza ilikuwa HP-Compaq. Ilikuwa ile ya chogo na ilikuwa pentium 1. Kuwaka ilikuwa inachukua dk tano... That is twelve years ago!PC ni matunzo na jinsi unavyoitumia.
Kwangu mimi nje ya HP ntanunua Macbook Pro tu.
HP naziaminia sana na hazijawahi niangusha hata siku moja.
hata hivyo vikoro koro vingi pia hawatengezi, kuna kina texas instrument, samsung, kingstone, sandisk, western digital etc. pc zime mature sana kila mtu anaweza akatengeneza yake unless unataka kutengeneza tablet pc au ultrabook ndio utashindwa kwenye design.mtengenezaji mkubwa wa processor za computer ni INTEL. Karibu aslimia sabini ya processor zinatengenezwa na Intel. Hawa kina Dell , HP and others wao wanatengeneza vikorokoro vilivyobakia...
Labda uliktumiaga mbovu, Lenovo yangu navyoongea hapa since 2012 inadunda, Kwa sasa anayo dogo anaendelea kuitumia cguoni na wala haijamsumbuaMkuu lenovo mi sijawahi fikiria kutumia.kwa sabab inaweza kujizima bila hata kuguswa
Mkuu naomba tafsiri ya Maelezo haya kwani kuna laptop nimeinunua juzi na bado ipo ndani ya warranty nikaambiwa kama sijaridhika nayo naweza kuirudisha. Sasa uliposema masuala ya DXDIAG nami nikafanya ila kitaalamu maana ya information hizi sijui. Maelezo ni kama ifuatavyo. Kitakachomiss utasema niongeze au kufanya marekebisho na mwisho naomba ushauri kama yafaa au laah! Nimenunua kwa ajili ya kuandika project mbali mbali za kiofisi!Cha msingi search kwenye laptop unayotaka kununua angalia specificationa bila kujali ni dell au hp ama lenovo, Njia rahisi ni kuminya ile button ya start / window then search hili neno DXDIAG Anza kucheki ipi iko poa, Ukiona umechanganyikiwa wewe orodhesha specs ziweke humu tukudadavulue...Cha msingi nakushauri ucheki processor na ussishie tu kucheki kwamba ni core i3, i5 au i7...andika na model kabisa mfani core i5 6500u, core i5 7200u, .n.k
shilingi ngapi? hio laptop labda laki 2 au ikizidi sana 2 na nusu ndio thamani yake.Mkuu naomba tafsiri ya Maelezo haya kwani kuna laptop nimeinunua juzi na bado ipo ndani ya warranty nikaambiwa kama sijaridhika nayo naweza kuirudisha. Sasa uliposema masuala ya DXDIAG nami nikafanya ila kitaalamu maana ya information hizi sijui. Maelezo ni kama ifuatavyo. Kitakachomiss utasema niongeze au kufanya marekebisho na mwisho naomba ushauri kama yafaa au laah! Nimenunua kwa ajili ya kuandika project mbali mbali za kiofisi!
1. Computer name: laptop
2. Operating system: window 7 professional 32-bit (6.1 build 7600)
3. Language: English
4. System manufacturer: Toshiba
5. Bios: ver 1.00PARTTBLO
6. System model: satellite
7. Processor: genuine Intel (R) CPU T 2250@1.73ghz(2cpus)~1.7ghz
8. Memory: 4096mb
9. Page file: 744used; 5378mb available
10. Direction version:direct X 11
Name: mobile Intel(R) 945 express chipset family
11. Manufacturer: Intel corporation
Note: ltk window system ilikuwa 8 nikaomba installation ifanywe ya window 7!!!
Hayo no Maelezo ya ukurasa Wa kwanza baada ya kugonga DXDIAG
cc: wataalam wa ict wote karibuni!!!
processor yake ni ndogi na ya zamani, ila kwa kazi za kuandika hizo project sio mbaya sana, By the way hizo laptop kwa bei huwa zinacheza kwenye 200 hadi 250Mkuu naomba tafsiri ya Maelezo haya kwani kuna laptop nimeinunua juzi na bado ipo ndani ya warranty nikaambiwa kama sijaridhika nayo naweza kuirudisha. Sasa uliposema masuala ya DXDIAG nami nikafanya ila kitaalamu maana ya information hizi sijui. Maelezo ni kama ifuatavyo. Kitakachomiss utasema niongeze au kufanya marekebisho na mwisho naomba ushauri kama yafaa au laah! Nimenunua kwa ajili ya kuandika project mbali mbali za kiofisi!
1. Computer name: laptop
2. Operating system: window 7 professional 32-bit (6.1 build 7600)
3. Language: English
4. System manufacturer: Toshiba
5. Bios: ver 1.00PARTTBLO
6. System model: satellite
7. Processor: genuine Intel (R) CPU T 2250@1.73ghz(2cpus)~1.7ghz
8. Memory: 4096mb
9. Page file: 744used; 5378mb available
10. Direction version:direct X 11
Name: mobile Intel(R) 945 express chipset family
11. Manufacturer: Intel corporation
Note: ltk window system ilikuwa 8 nikaomba installation ifanywe ya window 7!!!
Hayo no Maelezo ya ukurasa Wa kwanza baada ya kugonga DXDIAG
cc: wataalam wa ict wote karibuni!!!