Ninunue brand gani ya TV kati ya hizi?

Ninunue brand gani ya TV kati ya hizi?

Kama huna option nyingine chukua SolarMax nimeitumiana haina vipengele na hata ubora wa picha inajitahidi ila usisahau kununua TV guard na ikibidi chukua smart ili isome format mbalimbali pale unapohitaji kutumia flash
 
Asante sana mwanzo nilidhanig solax max labda zinatumiaga solar kumbe ni brand tu
 
Kama utaamua kuchukua Hisense basi iwe ya South Africa na bei ni juu kidogo kuliko za China
 
Mrejesho:Finally nimechukua boss inch 43 asanteni sana
 
Kama huna option nyingine chukua SolarMax nimeitumiana haina vipengele na hata ubora wa picha inajitahidi ila usisahau kununua TV guard na ikibidi chukua smart ili isome format mbalimbali pale unapohitaji kutumia flash
Mkuu hiyo ni kwa tv hiyo tu, au ata hizi za LG, SONY, HISENSE
 
Ongeza pesa kidogo kama unayo nunua hata LG, inakua durable tofauti na hizo kampuni au hata Hisense basi boss

Kama budget imebana sana nunua good vision au boss au star x sio mbaya
LG Ndio Tv Bora kabisa Au Sony. Tofauti yake na Tv Nyingine ni Ubora wa Picha.

Tv Nyingine Ubora wa picha kwenye Engo ni tofauti na Katikati siyo Wide colore.

Utakuta ukiwa umeweka sebuleni unatazama ungavu wa picha wa katikati na pembeni nitofauti. Pembeni picha inakua imepauka tofauti na kati kati.

Ukija kwa LG na Sony Hakuna utofauti wa picha kati ya pembeni na kati kati hivyo kama sebule yako kuna kochi za pembeni watu wataona picha Ngavu sawa na MTU wa mbele ya Tv yako.

Nakushauri Unapoenda kununua Tv zingatia Wide Coler Ambazo ni LG Au Sony na Ziwe 4K Au 8K kwa Ungavu Mzuri sana wa Picha LG 4K Ni The best Kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom