Nini wajibu na faida ya SMZ katika Muungano na Tanganyika?

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
19,103
35,919
Wakuu nawasalimu kwajina la Tanganyika + Zanzibar.

Tunashukuru Muumba kwa kuzidi kutupatia uhai..naomba nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada tajwa.

Tangu kuasisiwa muungano wa bara na visiwani..mwaka 1964 na waasisi wetu..na kupata jina la Tanzania..kumekua na kero nyingi za kimuungano zipatazo 18, ambapo mwaka jana takribani kero 11 ziliweza kupatiwa ufumbuzi ndani ya muda mfupi.

Licha ya kua kero hizi nyingi hazifahamiki kwa watanzania walio wengi ikiwamo na mimi..
Ningependa kujua ni kero zipi hizo zilizipatiwa ufumbuzi na zipi ambazo hazijapatiwa ufumbuzi?

Sambamba na hilo pia je wajibu wa zanzibar na jukumu lake kuu katika muungano huu ni upi?

Kwamaana kwamba Umeme wananunua Tanesco madeni hawalipi mpaka wasamehewe.

Ajira wanataka na kupewa 21% na Tanganyika 79% ambapo ki proportion ya wingi wa wakazi haviendani hata kidogo.

Mikopo ya IFM,WB wanakopewa na kupewa waendeshe serikali yao je kwenye kulipa nao watalipa au ndio Tanganyika atalipa.

Mtanganyika ni kama mtu wa mataifa mengine akiwa Zanzibar haruhusiwi hata kumiliki kipande cha ardhi..je hii ni haki ilihali wazanzibari huku ardhi wanajipimia bila shida.

Je ni kiasi gani zanzibar ina ongeza katika bajeti ya serikali ya muungano..ni asilimia ngapi wao wanachangia?

Nikwanini wazanzibari wanaruhusiwa kuteuliwa kwenye nyazifa mbalimbali huku Tanganyika ila Mtanganyika haruhusiwi hata kua mtendaji wa kata Zanzibar..jee huu ndio mafumo wa muungano tunaojinasibu.?

Naomba majibu katika haya..mana naona mizani ya muungano haiko sawia hata kidogo.

Naona hitaji kubwa la kua na serikali ya Tanganyika ambayo inayonywa na huyu kupe Zanzibar kwajina la Muungano ambao hauko sawa kivitendo na kiutendaji.

Wabunge simamie hili ndio mana mko bungeni posho na mishahara visiwapumbaze..muungano hau hauna usawa..niwa kinyonyaji.

N.B: hitaji la katiba ni la wananchi sio viongozi

Mungu ibariki Tanganyika

#MaendeleoHayanaChama

Screenshot_20220102-015209_Google.jpg
 
Tumeibeba for security purposes.
Kwahiyo hii ukosefu wa usawa kwenye huu muungano kisa ni ulizi na usalama..mana kipindi hicho cha kuasisi muungapo ikulu ilikua dsm karibu na bahari hivyo usalama wake ulikua mdogo endapo mashambulizi yangetokea upande wa bahari

..ila sasa makao makuu ya nchi yapo Dom..je bado suala la ulinzi lina tija..kwamaana kwamba sasahivi mtu anaweza kua marekani akaishambulia uganda bila hata kukanayaga ardhi ya uganda...je bado hii point ya ulizi na usalama inamshiko?

Ilihali watanganyika wakiendelea kuvunwa na kufungiwa milango pindi wabishapo hodi Zanzibar.

Faida za ulinzi na usalama ni mawazo yako WEWE!

Ni lini na wapi waaasisi Nyerere na Karume walisema wameungana kuogopa kushambuliwa ?
 
Mleta mada kinachokutesa ni kushindwa kufahamu vipi Muungano unavyo function.

Muundo wa Muungano wetu ni wa serekali mbili, Kwahiyo Muungano wetu Unatambua Mtanzania na Mzanzibari, Hakuna Mtanganyika.

Kwahiyo Mzanzibari anahusika na Na Zanzibar tu kwahiyo hapa mtanganyik hawezi kuhusika.
Na Mtanzania ni Tanganyika + Zanzibar. Kwhaiyo Mzanzibari anahusika moja kwa moja na kila kilicho Bara. Kwahiyo inachotakiwa kufahamu ni kuwa hakuna teuzi ya watanzania Bara bali teuzi zote za kwenye SMT ni za watanzania wote.
 
Wakuu nawasalimu kwajina la Tanganyika + Zanzibar.

Tunashukuru Muumba kwa kuzidi kutupatia uhai..naomba nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada tajwa.

Tangu kuasisiwa muungano wa bara na visiwani..mwaka 1964 na waasisi wetu..na kupata jina la Tanzania..kumekua na kero nyingi za kimuungano zipatazo 18, ambapo mwaka jana takribani kero 11 ziliweza kupatiwa ufumbuzi ndani ya muda mfupi.

Licha ya kua kero hizi nyingi hazifahamiki kwa watanzania walio wengi ikiwamo na mimi..
Ningependa kujua ni kero zipi hizo zilizipatiwa ufumbuzi na zipi ambazo hazijapatiwa ufumbuzi?

Sambamba na hilo pia je wajibu wa zanzibar na jukumu lake kuu katika muungano huu ni upi?

Kwamaana kwamba Umeme wananunua Tanesco madeni hawalipi mpaka wasamehewe.

Ajira wanataka na kupewa 21% na Tanganyika 79% ambapo ki proportion ya wingi wa wakazi haviendani hata kidogo.

Mikopo ya IFM,WB wanakopewa na kupewa waendeshe serikali yao je kwenye kulipa nao watalipa au ndio Tanganyika atalipa.

Mtanganyika ni kama mtu wa mataifa mengine akiwa Zanzibar haruhusiwi hata kumiliki kipande cha ardhi..je hii ni haki ilihali wazanzibari huku ardhi wanajipimia bila shida.

Je ni kiasi gani zanzibar ina ongeza katika bajeti ya serikali ya muungano..ni asilimia ngapi wao wanachangia?

Nikwanini wazanzibari wanaruhusiwa kuteuliwa kwenye nyazifa mbalimbali huku Tanganyika ila Mtanganyika haruhusiwi hata kua mtendaji wa kata Zanzibar..jee huu ndio mafumo wa muungano tunaojinasibu.?

Naomba majibu katika haya..mana naona mizani ya muungano haiko sawia hata kidogo.

Naona hitaji kubwa la kua na serikali ya Tanganyika ambayo inayonywa na huyu kupe Zanzibar kwajina la Muungano ambao hauko sawa kivitendo na kiutendaji.

Wabunge simamie hili ndio mana mko bungeni posho na mishahara visiwapumbaze..muungano hau hauna usawa..niwa kinyonyaji.

N.B: hitaji la katiba ni la wananchi sio viongozi

Mungu ibariki Tanganyika

#MaendeleoHayanaChama

View attachment 2065615
Kuhusu ardhi sio kweli,wapo wabara kibao wamejenga Zenj,wananunua na wanajenga vzr tu,unless kama hawapewi Hati za hivyo viwanja
 
Mleta mada kinachokutesa ni kushindwa kufahamu vipi Muungano unavyo function.

Muundo wa Muungano wetu ni wa serekali mbili, Kwahiyo Muungano wetu Unatambua Mtanzania na Mzanzibari, Hakuna Mtanganyika.

Kwahiyo Mzanzibari anahusika na Na Zanzibar tu kwahiyo hapa mtanganyik hawezi kuhusika.
Na Mtanzania ni Tanganyika + Zanzibar. Kwhaiyo Mzanzibari anahusika moja kwa moja na kila kilicho Bara. Kwahiyo inachotakiwa kufahamu ni kuwa hakuna teuzi ya watanzania Bara bali teuzi zote za kwenye SMT ni za watanzania wote.
Kwa maelezo haya hakuna maana ya muungano uvunjwe tyuuh.
 
Back
Top Bottom