Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
-
- #281
Tumefurahi umerudi.Hellooo
Mamboz?
Am back!
Najivunia kurudi salama
Eti Ouuyeeeessss ๐คฃWe Acha tuuu ouyeeeees๐
Amua sasa๐ usile chipsi kwa mwaka mmoja tuSijapenda
Mimi sio mlaji wa chips hivyooAmua sasa๐ usile chipsi kwa mwaka mmoja tu
Hapo umenoga, mshangazi portable ndo dili๐Asante sana , ushauri wako wa February niliuchukua nikatafuta nutritionist, nikajifunza kuhusu the science behind weight loss, tukatengeneza meal plans na imenisaidia sana.
Sema kukonda kweli kazi, mimi mwenyewe napambana na 78kg zangu hapa. Ila nazishusha mdogo mdogo tokea mwaka jana...Mimi sio mlaji wa chips hivyoo
Khaa! Sasa 78kg nazo ni nyingi kwa mwanaume?Sema kukonda kweli kazi, mimi mwenyewe napambana na 78kg zangu hapa. Ila nazishusha mdogo mdogo tokea mwaka jana...
Hapo umenoga, mshangazi portable ndo dili๐
Hatari sana toka replies 323 mpaka 288, hadi mawaonea huruma kusoma na kufuta ile mitusi yote ya Mwanakwetu ๐คฃMods wanatumia VPN ๐ ๐ .
Njoo pmTumefurahi umerudi.
Zawadi zangu ziko wapi?
Alikukataza ๐ค๐๐น๐น๐น Niliacha Kantry alinikataza na hapendi nitukane so hata sijafatilia..!!
๐น๐น๐น Kila mbabe ana mbabe wake..!!Alikukataza ๐ค๐
Kumbe kuna watu humu unawatii ๐คฃ
Embu tuone๐Khaa! Sasa 78kg nazo ni nyingi kwa mwanaume?
Ila mimi ni wastani sio bonge wala mwembamba๐
Acha matani kwamba hujawahi kuniona auEmbu tuone๐
Njoo pmKwani lazima uje na fujo kama unataka kuiomba. Acha kuzunguka zunguka kijana ๐
Acha maelezo mengi, tupia kafoto buana ๐Acha matani kwamba hujawahi kuniona au
Nikikuona tena kuna shida jamani?Acha matani kwamba hujawahi kuniona au