Nini unajivunia siku ya leo?

Ukija uwanjani VIP A pale ukimuona mkaka ana kitambi na kapiga kofia jezi ya njano imeandikwa Vin JR ujue ndio Mimi ukiniona nakupa na afu kumi ya maji ephen_
Ila enzo usijitoe ufahamu! Ungekua na hela tusingekesha kipindi kile kama wehu kusubiri vocha za bure.

Mods walitukosea kufuta ule uzi, nilikua nina uhakika wa bundle, zikimwagwa nazoa hadi za 20kπŸ˜‚
 
Ila enzo usijitoe ufahamu! Ungekua na hela tusingekesha kipindi kile kama wehu kusubiri vocha za bure.

Mods walitukosea kufuta ule uzi, nilikua nina uhakika wa bundle, zikimwagwa nazoa hadi za 20kπŸ˜‚
πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€Aisee au na mie niwafanyieni jambo 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…