Nini unajivunia siku ya leo?

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Leo utanena kwa lugha bado hujasema..!!
Hii vita kali sana, kwani mlinyimana nini๐Ÿคฃ?

Ila mwanakwetu si unaona ameita hadi mods wote. Hawezi kujiamini hivi halafu ikawa uongo buana ๐Ÿ˜‚
 
Hii vita kali sana, kwani mlinyimana nini๐Ÿคฃ?

Ila mwanakwetu si unaona ameita hadi mods wote. Hawezi kujiamini hivi halafu ikawa uongo buana ๐Ÿ˜‚
Humjui huyo, hiyo kuita mods ni michezo yake ili kujidefence ndiomana toka mwanzo nilimwambia leo mods hawapo nitakunyoosha hakuna wa kukuonea huruma..!!

Sema nini we jipe muda ipo siku atakugeuka, kuna wenzio walitolewa mpk siri zao. Wengine picha zililetwa wapo km mapulizo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kwani hiyo "wapo kama mapulizo" ilikua na ulazima wa kuiweka mwanakwetu ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚
 
Wanachama chakavu kuishi kwa hofu na mashaka kama digidigi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ