Nini tofauti

tofauti ni kwamba kupenda ndio kunaanza kuhitaji ndio kufate
 
Du hapo mmenipa na lingine na kutamani je
 
I dont think so CUTE...
U need someone because you love them..
Kwangu nadhani (in its true, genuineness)..kuhutaji preceeds kupenda!
unamtamani kwanza ndio uje umpende na bada ya kukaa naye kwa mda na kumzoea ndio unaanza kuona u need him/her in ur life ila huwez kuanza kumpenda ndio uje utamani au uanze na kuhitaji ndio uje upende umalizie na kutamani...as i know hua mtu unaona kitu unakitamani faster as u can bada ya dk kama kadhaa kupita ndio unaanza kukipenda ila tamaa always ndio huanza kwanza
 
umenena
 
Kwa mtiririko wa what starts tunaweza kubishana hadi kesho because there are many things pyschologists will argue precede lob=ving someone...hapo wacha nikubaliane na wewe!
Mi nlikuwa nafanya reference ya kipi ni greater than the other....where i think, needing someone encompasses loving them.
Kutamani uko kwa kidunia zaidi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom