EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,650
- 12,851
Nahitaji kufahamu tofauti kati ya pikipiki boxer na TVS na bei ya kila moja wapo na je ipi ni bora kati ya pikipiki hizi?
BOXER
TVS
BOXER
TVS
Kwanini mkuu boxer na si TVSChukua boxer
Vifaa vyake easy kupatikana pia hazili mafutaKwanini mkuu boxer na si TVS
Na ipi ni bei raisi zaidi ya nyingineVifaa vyake easy kupatikana pia hazili mafuta
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Mbona kama umechanganya madesa mkuu,boxer na tvs zote ni piki piki za kidosiBoxer..spare zipo kulingana na uwezo wako wa mfuko
Tvs ..spare bei yake imechangamka sana pia hata ulaji wa mafuta upo juu kuliko boxer .kiufupi Tvs hawana spare za kichina
Majina tofauti ni ishara ya kwamba zipo tofauti mkuu na sio kitu kimojaMbona kama umechanganya madesa mkuu,boxer na tvs zote ni piki piki za kidosi
Boxer niliona kuna za gear 5 inamaana gear 4 ni nzuri kuliko 5Chukua boxer Ila chukua ile ya gia nne ile ya toleo la kwanza bampa la mbele ni la kawaid hiyo uliyoweka spea zake ni adimu.Kaa mbali na TVS ni nzuri ikiwa mpya Ila ikianza kuzingua utatembea kwa waganga wote Handeni na Sumbawanga
Huo ndo ukweliBoxer niliona kuna za gear 5 inamaana gear 4 ni nzuri kuliko 5